Recent content by Hammy H

  1. H

    Nina bejet ya laki tatu na nusu (350K) natafuta simu ya Redmi 12 yenye Gb 128 storage

    Habari wana JF Members, Nna bajet ya laki tatu na Nusu, nafikiria kutafuta simu ya Redmi 12 yenye Gb 128 storage. Gb 8 RAM au naweza kupata Samsung kali yenye sifa hzo yaani ( gb 128 storage, 8 Gb Ram na Camera nzurii) kwa bei hyo? Naomba ushauri Wakuu
Back
Top Bottom