Recent content by Hamad Yussuf

  1. H

    Balozi Ngaiza Afariki dunia!

    Mungu ailaze roho yake, mahala pema peponi, namkumbuka Alikua mpambanaji mpigania haki, ni mzalendo wa kweli mpenda maendeleo ya wananchi wenzake, wa Muleba KAskazini, alikuwa Mjumbe mwenzetu wa Kamati Kuu CHADEMA, hadi mauti yanamfika alikua ni Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA...
  2. H

    Je picha hizi zimebeba ujumbe gani?

    Hao ni wadanganyika hakuna zaidi hapo Mkuu
  3. H

    Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

    Yametupa mafundisho, sisi ndio tunajua kiatu kinapobana na jinsi ya kuitatua matatizo tuliyonayo, na juhudi hizi ndio zimeanza
  4. H

    Mwenye Mawazo ya Kuleta Amani Aje-SMZ

    Nakubaliana na Waziri Kiongozi Mhe Nahodha,
  5. H

    The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    Asha Nakubaliana na wewe hawa jamaa sipati picha nikitafakari kampeni zao chafu dhidi ya Chadema, lakini kufanya ushirika na watanzania ni jambo jema sana kuliko ushirika wa CUF,TLP ,NCCR na CHADEMA, na Chadema tumeamua kufanya ushirika na watanzania. Mbinu za kutaka tuache kazi takatifu...
  6. H

    Operation Sangara: Chadema yajipanga Upya

    Date::11/19/2008 Operesheni Sangara: yasaidia Chadema kuingia vijijini Mwenyekiti wa CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akihutubia wananchi. Na Mussa Juma CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Oktoba 19 mwaka huu, kilizindua operesheni...
  7. H

    Soma hii SMS

    Wakati umefika kama CCM hawatachukua hatua kwa viongozi wao wasubiri wananchi watachukua hatua kwa kuwapa adhabu mafisadi.
  8. H

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    MAkamanda msiwe na hofu CCM tunawapiga kwa mbali sanatu zaidi hata ya mwaka 2005, tutawapa fundisho zuri sana tu.
  9. H

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Wanaanza kuhesabu saa kumi na mbili jioni
  10. H

    Uchaguzi ukiisha tuambieni ukweli

    Mkuu kumbuka kwamba Chadema tuliweka hadharani matumizi yetu ya fedha za kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, waambie CCM waweke za kwao walizotumia katika uchaguzi mkuu uliopita, na kwa CHADEMA tayari tumeshaamua kwamba tunaweka hadharani mahesabu yetu ya chma yaliyokaguliwa ni moja kati ya...
  11. H

    Vijana wamsimamisha Kikwete Mwanjelwa; wazomea "fisadi fisadi"

    Watanzania wenzangu nawapa pole hatuna Rais tuna Ze Comedy tu hapa, Jk hata akizomewa na wa Tz hajali, kwa kuwa anapokelewa vizuri kule USA.
  12. H

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Takwimu zako na Ngawaiya subiri kesho kutwa mkuu, CCM mtaipata fresh
  13. H

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Matumizi ya helkopter ni ubunifu uliobumiwa na campain team ya mgombea urais wa CHADEMA 2005, na kupata baraka ya vikao vya juu vya chama yaani Kamati kuu, Baraza Kuu na Mkutano Mkuu, CCM walitubeza sana kwamba eti tunafuja fedha, niliwashangaa sana walipoleta Chopper kule Kiteto na sasa...
  14. H

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Lissu si mkurugenzi wa DP, Mtikila alitakiwa awe na wakurugenzi wake wa kutoa matamko kwa bahati mbaya chama cha DP ni cha mtikila kama MWenyekiti na Mke wake ndiye Katibu Mkuu hivyo kumtpia Lissu msalaba huo humtendei haki ndugu yangu.
  15. H

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Nchi yetu inapelekwa kuzimu na chama cha Mapinduzi, watanzania tusipokuwa makini historia itakuja kutuhukumu, CCM ya leo imeshakuwa Muflis wameishiwa na sera sasa wanategemea jeshi, na tunawahakikishia wananchi wa Tanzania kwamba wasiwe na wasiwasi kwa Uchaguzi wa jimbo la Tarime, tupo tayari...
Back
Top Bottom