Recent content by HAKI bin AMANI

  1. H

    Laiti wangeweza nisikia, ningewashauri ccm wasisimamishe mtu kiti cha uraisi 2015 !

    Hili ni janga, afadhali upofu wa macho kuliko upofu wa akili, afadhali kiwete wa miguu kuliko kiwete wa ubongo. Kama mpaka sasa hujatambua kuwa kuna mabadiliko, wenye akili tena waasisi wa CCM walishatabanahisha kifo cha chama chao hakika wewe ni sehemu ya R.I.P. CCM.
  2. H

    Mukama amtetea Lusinde; adai alikuwa anajibu mapigo!

    Mkuu usipate shida, hizo ndiyo sera za magambuti kukanyaga majitaka ya mitaro.
  3. H

    MAWAZO MAGUMU PART I-Arumeru

    CONTRADICTION: "....Hamkusikia alivyosema, Mimi ni Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo? Mtamwitaje Mungu wa wafu? Basi, Yeye si Mungu wa wafu bali walio hai. ....Kinachokufa ni mwili, roho humrudia muumba C
  4. H

    J. K. Nyerere, alituachia nini ndani ya CCM!?

    Kama maana ndiyo hiyo, basi ndiyo maana sina ushirika wa kujenga hoja na tapeworm kama vile sina ushirika na 'satan'
  5. H

    J. K. Nyerere, alituachia nini ndani ya CCM!?

    Kajoka = A very small snake but a very big SATAN. Nawasilisha.
  6. H

    Kikwete: I may be having a smiling face but am firm on issues

    1. Mgogoro wa 'nchi' ya Z'bar umeongeza mgogoro kikatiba. Nakushauri upitie katiba ya JMT na ya Z'bar. Kufunika bomu lililokwishawashwa utambi, si dawa ya kuzuia lisilipuke. 2. Suala la Waziri na Katibu ni kiini macho au sinema ambayo ina matukio ya hatari na vifo lakini staring hauawi. Hizo...
  7. H

    Picha za Mkapa na Vincent wakiwa kwenye msiba wa baba-Vincent yaani Kiboko Nyerere

    Kama BWM ni maarufu, aliendaje kwenye msiba wa marehemu asiyemfahamu wala asiyekuwa maarufu. Acha akili za kuku za kutokuwa na kumbukumbu.
  8. H

    Uagizaji wa mafuta wamkera MAKAMBA

    makamba = big ropes? Or big fishes known as kamba?
  9. H

    Zitto: Ndio ninautaka urais

    Hana kinyongo bali huo ndiyo ukweli. CHEMA CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA. Kama anazo sifa za kuwa rais wakati ukiwadia wana-wa-nchi watasema wenyewe. Mwl Nyerere alitahadharisha kuwa ikulu ni mahali patakatifu na mtu safi hawezi kupakimbilia, kwamba ukimwona mtu anakimbilia ikulu mwogope kama...
  10. H

    CCM hoi Kirumba -Mgombea akataliwa kujitoa kwenye kinyang'anyiro.

    BENDERA YA CCM 1. Nyundo = Gonga vichwa vyao ubongo utoke hadi wafe. 2. Jembe = Chimba kaburi uwazike marehemu waliogongwa na nyundo hadi kufa 3. Kijani = Waozee kaburini hadi nyasi ziote, mpaka mwisho wa dunia.
  11. H

    Mkapa: tume tangazeni matokeo CCM imeshinda muuwaache waende mahakamani

    umakini wake ndio ule wa kusema vicent nyerere hana uhusiano wowote kiukoo na baba wa taifa mwl. Nyerere?
  12. H

    Nani anahitaji siasa za majitaka kama hizo?

    Baadhi ndiyo nini, be specific.
Back
Top Bottom