Recent content by hagau

  1. hagau

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Mmeanza wazee wa fursa, kitu kimeletwa mezani apate msaada hapa, ww unaanza mudondosha namba ili tu mumkamue hela mgonjwa wa watu
  2. hagau

    Kama unapost kila kitu kinaendelea kwenye maisha yako kwenye social media Bado hujakua/komaa kiakili

    😀😀 mitizamo holera, Mitizamo mseti Kwa hapa Duniani kila kitu lazima wanadamu wakisemee negative, ukiamua usifanye lolote upate hizo positive Waaafwaa
  3. hagau

    Kwa nini Waafrika wengi wanaoishi mijini huwa wanapenda kuzikwa vijijini ?

    Nani anapenda kuzikwa kwenye makaburi ya msongamano, unazikwa juu ya mtu mwingine, kesho na kesho kutwa unaguswa na majembe anazikwa mwingine juu yako. Kaburi lisipojengewa mwez 1 lilishapotea. By the way unafuata walipo pumzishwa ndugu zako kule kijijini mkapige story😁
  4. hagau

    TMA: Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua

    Kuna wakulima wamepata hasara sababu ya kulima mashamba ya mazao ya mvua walitegemea mvua nyingi, kwa sasa yanakauka
  5. hagau

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    From hero to zero, Unanikumbusha visa vingi sana, tukifanikiwa tushike watuikomo wafanikiwe hasa ndugu, ipo siku watakufaa wewe au uzao wako
  6. hagau

    Kwa nini Hydroxonin inatoka tu kwa baadhi ya wanawake wa Makabila flani? Hasa Kanda ya Ziwa?

    Wanaume hamjagundua tu, hiki kitu ukiachana na kanda ya ziwa kwa wachaga kipo sanaaaa.
  7. hagau

    Kwa Zena hatoki ntu?

    Chiva wana Man
  8. hagau

    KUMBUKIZI | Diamond Platnumz: Ukinifungia nyimbo, mimi hakunipunguzii Kitu, nita-perform Nchi nyingine

    Waifute BASATA, maana yenyewe haiwezeshi ila kufungia. taasisi kama ole ilitakiwa kuwa na vipao mbele vya kuwezesha, kutafuta masoko ya muziki na sanaa, kutafuta fursa kwa wasanii, kuhamaosisha uanzishwaji wa bank au madirisha ya mikopo kwa wasanii. Ila wao upeo wao wa lazi umeishia...
  9. hagau

    Dkt. Mwigulu: Waunganishieni umeme wananchi kwa Shilingi 27, 000

    Mhh si kuna clip ikionesha kwamba uanganishwaji umeme kwa bei hiyo haiwezekani kabisa, tulipotoshwa na sasa timejilidhisha huwezi kabisa unganishwa umeme kwa 27k.
  10. hagau

    Pauline Gekul ashindwa rufaa ya Kijana Hashim Ally anayedai kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa

    Mimi nilijua yaliisha nadhan ndio maana akafungua rufaani yenye kutishia watu wamlipe na kumsafisha, imekuaje tena ngoma inarudi ngamani. KEsi, Magonjwa ni gema la kurudisha nyuma mtu
  11. hagau

    CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

    Umeongea point kubwa sana, JPM alifungua watu akili na mtizamo chanya. Anaebisha ni haki yake pia kubishia kila.jombo
Back
Top Bottom