Recent content by Habibatamimu

  1. H

    Changamoto ninayoipitia kwenye biashara yangu ya CLEANING PRODUCTS.

    Mimi sabuni zangu zina povu na pia zina perfume nzuri.. lakini pia hata dawaya tiles na sink inang'arisha na hata dawa ya madoa ya kwenye nguo ni nzuri majirani zangu wanaisifia.. Kiukweri sina shaka na bidhaa zangukwenye utendaji kaz wake
  2. H

    Changamoto ninayoipitia kwenye biashara yangu ya CLEANING PRODUCTS.

    Sitoweza kuwalipa labda nipite mwenyewe..asante kwa ushauli
  3. H

    Changamoto ninayoipitia kwenye biashara yangu ya CLEANING PRODUCTS.

    Nmeanza biashara ndogo ya kutengeneza CLEANING PRODUCTS mwenyewe. Natengenaza bidhaa kama sabuni ya maji,jiki,na dawa ya tiles na sink n.k Changamoto yangu kubwa kwa sasa ni kupata wateja na kuitambulisha brand yangu. Nmejalibu kutumia Facebook, tiktok , instagram na whatsup lakini bado...
  4. H

    Ni kitu gani kinakusumbua zaidi unapofanya usafi wa nyumbani?

    😂😂 Mkuu were usafi umekukataa kabisa! Hiyo ni level ya cleaning services ya kuhama chumba😂😂😂
  5. H

    Ni kitu gani kinakusumbua zaidi unapofanya usafi wa nyumbani?

    😀😃Aisee madoa ndiyo Adui WA nguo kabisa.kuna baadhi yanaingia Mpka unajiuliza yamejipangia nyumba 😅
  6. H

    Ni kitu gani kinakusumbua zaidi unapofanya usafi wa nyumbani?

    Aah tiles za bafuni pia zinaweza kuwa changamoto.. Kinachokusumbua zaidi ni nini?? Madoa,uchafu unaoganda au kubadilika rangi?
Back
Top Bottom