Recent content by Gwallo

  1. Gwallo

    Msajili wa vyama vya siasa tafdhali ifute CHADEMA kwa maslahi ya Taifa

    Unaweza kuifuta kwa nje, kumbe mizizi imeenda chini sana....hangaikeni tu na CDM
  2. Gwallo

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Mkiwa dini kubwa itawasaidia nini ?
  3. Gwallo

    Makonda afanya ziara ya kushtukiza Kituo cha Afya Kisesa usiku

    Kama mgonjwa, si wanatoa huduma kwa wagonjwa ;)
  4. Gwallo

    Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Inatakuwa ni kunyongwa au kuachiwa huru
  5. Gwallo

    Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Mkuu huyu Tembo umemla kote, usikubali mkia ukushinde..
  6. Gwallo

    Maviziano na Maridhiano ya Wao, Sisi, na Wale!

    Hakutakuwa na nywinywi, nywinywi wala nyoynyooo..... kweli ni mcha Mungu na hana chuki kabisa kwa ccm
  7. Gwallo

    Taifa bado lipo kwenye majanga na maombolezo

    ccm hawana aibu kabisa mkuu wala hawahisi hatia.
  8. Gwallo

    Askofu Dkt. Bagonza na nukta za mashaka

    Mpaka kwenye hizo chaguzi huwa mnaweka tick ?
  9. Gwallo

    John Heche amjibu Gerson Msigwa: Msemaji wa Serikali au Serikali inawezaje kuita watu Nguchiro

    Sisi tulikuwa nyuma ninyi mlikuwa mbele na mitutu
  10. Gwallo

    Mtibeli usijisahaulishe zimebaki siku mbili kufikia tar 7 tuone ukiaibika. Lisu hatutamtoa kwa ramli zenyu

    Kwa nini unahisi ni baba na mume wa mtu, na siyo mama na mke wa mtu ?
  11. Gwallo

    GE2025 Makada: CHAUMMA hawana tofauti na CCM ni Wezi tu, tunarudi CHADEMA

    Mkuu Erythrocyte hata maandiko yanasema muwasamehe wale walioowakosea....nadhani wapokelewe ila waonywe
Back
Top Bottom