we dmussa! kutmwa, nikuulize we umetumwa na nani? Hakuna aliyetumwa hapa, mwanaume acha kunitafuta!
mnataka kuchanganya mambo hapa. hii ripoti ya thisday imezungumzia suala la tangold, basi tuongee tangold.
eti mnasema ye fisadi mpaka atakapopruv? si hivyo ndugu yangu ni vinginevyo, anayesema...