Inabidi wafanye uchunguzi maana siku hizi watu wana afya ya akili, sometimes ili ajisikie vizuri anaweza kumkaba mwenza wake na kuishia kumuua. Visa hivi vichunguzwe Kwa undani na umakini.
Lisu maisha yake yote amewekeza kwenye kukomboa watanzania hasa maskini. Hajawahi kufanya siasa za udalali kama hao wengine wanaonunulika na hajawahi kushika vitengo serikalini ili ajineemeshe.
Sasa hayo majumba mazuri anayatolea wapi??
Aliona ni kama nimemsumbua, nakumbuka alinambia "yaani kunisumbua kote kule kumbe ndio uko hivi?, wewe sio mwwanaume " Na akanambia angejua asingekubali kupoteza muda wake.
Demu alikuwa ni mkali ila ni mhuni Fulani hivi.
Naamini alitegemea bonge la show akaambulia kuonjeshwa Tu.
Hiyo iliwahi kunitokea enzi za ujana, nilimfukuzia demu almost mwaka akawa anantolea mbavuni mpaka nikawa nimekata tamaa ya kumdinya. Ila nikaamua kubaki kumtania kila tukikutana na alikuwa anapenda jinsi navyomfukuzia. Kuna siku natoka job nimechoka mbaya muda ya saa 12:00 hivi jioni nikakutana...
The semen released by a healthy man after intercourse with a woman contains 400 million sperms. So, logically, if that amount of sperm found its way into the uterus, 400 million babies would be born!
While these 400 million sperm race like mad towards the mother's uterus, only 300 or 500 survive...
Wanawake ni majasiri na sio waoga, anamkubalia mwanaume mwenye umri wa Baba yake na hata hajari ukubwa wa mashine atakayokutana nayo!
Kama hiyo haitoshi anakubali kubeba mimba akijua fika siku ya kuzaa ni kufa na kupona. Ila haogopi👏👏
Nadhani Dar es salaam ndio itakuwa inaongoza!
Ila Kwa mtazamo wangu si lazima mbunge kuwa mzawa, mtu yeyote mwenye kalama ya uongozi na mwenye uwezo wa kusemea changamoto za watu anatosha kuwa mbunge
Nenda katoe taarifa hii ya Kwa afisa elimu kama kuna any kind of injustice to the kids, hapa haitasaidia au itachukua muda hatua kuchukuliwa.
Ni kweli adhabu inapaswa kutolewa lakini wanafunzi wasiwe sehemu ya watumishi (hasa waalimu) kuondolea stress zao!
Kiongozi amefia kwenye utamu, yaani ameumaliza mwendo ki style sana, wakati wengine wakifa Kwa maumivu makubwa kwenye ajali au hospital bed jamaa Anaondoka na Ile kitu moyo unapenda yaani Raha ya bao!
Moja wapo ya sababu za ndoa ni kutaka kupata watoto, sasa umri huo nadhani kipindi cha uzazi (reproductive age) imeshapita, Hivyo hata show itakuwa haina maana ni Sawa na kutwanga maji Tu!😁😁
Ifike wakati nao TFF na bodi ya ligi waache kuendekeza hao wapumbavu. Hivi ingekuwa ni mtibwa sugar au mbeya city ndio inaleta huo ujinga ujinga mpaka Leo ingekuwa haijatoa mwamuzi?.
Mimi ni Yanga lakini wanachofanya viongozi wetu siafiki hata kidogo. Hata tukipewa ubingwa Kwa point za mezani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.