Unajua hata yeye mwenyewe anaona ni ngumu kuelezea ukweli halisi wa mustakabari wa nchi yetu ukiondoa swala la miundombinu ambalo unaweza ukasema amejenga barabara kadhaa na madaraja na vinginevyo ambavyo vinaonekana kiurahisi.....Sasa tuje kwenye mfumuko wa bei,ukisema umewatoa hapa na...
mambo ni aje wapenda amani na maendeleo wenzangu mimi naitwa gudchaz........ningependa pia kufahamu jinsi ya kuwa premium member au senior member au expert....
Nashukuru kwa jibu lako likiambatana na vifungu,ila iko kipengele chenye red hakijaweka wazi chama kimoja kinatakiwa kuwa na idadi gani? maana sheria nayo ni ngumu sana kueleweka...
Kiukweli ukiwa kama mwandishi wa habari hutakiwi kuonyesha laivu unaegemea upande mmoja wa chama fulani, ingawa tunafahamu kwamba kwamba kazi ya mwandishi wa habari ni kuhakikisha watazamaji/wasikilizaji wanapata habari sahihi na sio kujikombakomba kwa wanasiasa wakuone ili wakukumbuke kwenye...
Habari za asubuhi wapenda maendeleo wenzangu,ninahamu ya kujua idadi ya viti maalumu bungeni inapatikana vipi,ukichukulia vigezo vilivyopo ikiwa pamoja na idadi ya kura za uraisi chama kitakazopata na pia idadi ya wabunge wa kuchaguliwa na wananchi kwenye chama husika.......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.