Recent content by Greenphobic man

  1. G

    wakulima wa sua kazi ni kwako

    Sawa ila usijiamin saana kwan hata wajanjajanja kama ww nao wanadisco.
  2. G

    Madai ya Dkt. Slaa kuhusu wafungwa wa kigeni kuletwa na kufanya kazi Tanzania

    Mleta uzi hapo umechakachua hizo quotations kuna baadhi ya vitu umeviacha ambavyo vingeleta maana nzuri tu. Hivyo Dr. hakuwa maana mbaya bali wewe ndo umemnukuu vibaya tena kwa makusudi ili lengo lako litimie
  3. G

    Wasanii wa mziki Tanzania kwa nini lakini? Tazama picha ya nyumba ya babake 20%

    Jaman nahisi ndo alikuwa anajipanga pengine kama sio msiba mngeshtukia tu mazingira yamebalika.
  4. G

    Wenyewe mpo?

    Wanasema ukifika mahala tafuta kwanza wenyeji, ndugu zangu naomba kujumuika nanyi.
  5. G

    CHADEMA yatoa Tamko kulaani matendo ya Balozi wa China

    Ama kwel huyu nepi ndo kabisaa haelewi kwamba anaongea na watanzania walioenda shule na waelewa. kama ni kuwekeza kwenye pamba kwanin afanye hiyo michakato wakati wa ziara ya kuimarisha chama?
  6. G

    Spika Anna Makinda:tunaelekea katika machafuko

    Yeye ndo chanzo, pia hapo si mahali pake kuzungumzia hilo.
  7. G

    Bad News: Diwani wa CHADEMA kata ya Kiwira akamatwa na Polisi

    Hizi ni mbinu za magamba 2 hakuna lolote ila ukwel utabak kesi za kutengeneza tumezoea
  8. G

    Picha: Mwigulu Nchemba aitesa CHADEMA Iramba, mikutano yao yadoda haijawahi tokea

    Hongera kwa kuleta post ila endelea kuitetea ili umshawishi boss wako kukutoa hyo BUKU 7
  9. G

    Mnara wa Mwangosi wazinduliwa ,mdogo wa marehemu awakemea wanaoituhumu CHADEMA

    Naona kejel zimezid ila mjue kuwa mambo yanabadilika nyie polccm pamoja na wanaowatuma itafikia siku mtafute pa kukimbilia mkose.
  10. G

    Kwanini Rwanda wametuzidi katika hili?

    Uchumi utakuwaje wakat % kubwa ya fungu la bajeti linatengwa kwa matumiz binafsi na sio kwa maendeleo? Pia hata linalotengwa kwa maendeleo huwa no return hapo uchumi utakuwa kwel
Back
Top Bottom