Mbona hata Yesu mwenyewe alisema mkuu.
Yohana 1:
10 Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.
11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina...
Jiunge na masters kisha PhD fanya research za kutosha publish paper za kutosha. Vyuo pia huwa vinatafuta watu wa kufanya tafiti zaidi kuliko wenye GPA kubwa. Mfano ukaenda UDOM ukajiunga masters kisha upo masters ukapublish paper za kutosha hapo lazima utabakia hapoahapo uendelee kufanya tafiti.
Wana-JamiiForums,
Katika uzi wangu uliopita wenye kichwa cha habari “Miaka 10 ya Sheria ya Wataalamu wa Kemia Tanzania: Je, utekelezaji wake umefikia wapi?”, niliibua mjadala kuhusu utekelezaji wa Sheria ya Wataalamu wa Kemia Na. 9 ya mwaka 2016 (The Chemist Professionals Act, 2016).
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.