Recent content by Gordian Anduru

  1. Gordian Anduru

    Basi gani Zuri Dar Iringa?

    Kuna dogo anaenda chuo Iringa hapa basi gani lina uhakik
  2. Gordian Anduru

    USITAPELIWE: Hii hapa timu yenye UNBEATEN nyingi duniani

    TWENDE NA HIZO LIGI ZINGINE SIYO MNATAJA TAJA DUNIA KIBWEGE BWEGE TU
  3. Gordian Anduru

    USITAPELIWE: Hii hapa timu yenye UNBEATEN nyingi duniani

    Wanaitwa Johor Darul Ta'zim aka JDT aka Southern Tigers ya Malaysia wanashikilia rekodi ya kutokupoteza mechi kwa muda mrefu. Wamecheza mechi zaidi ya 110 bila kupoteza tangu 2021, nimesikia kuna ndugu zake GB 64 wanajitangaza eti world record na vimechi vyao vingapi sijui Bado nafuatilia...
  4. Gordian Anduru

    Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Chief bei ulizotaja zinawiana. Huku Polepole na Kamwaga wanatafuta uwiano wa elfu hamsini na sita kwa buku mbili
  5. Gordian Anduru

    Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Unauza jezi Alf 32 unajiita timu kubwa Shame on you
  6. Gordian Anduru

    Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    We vipi unafuata wanaume kila jukwaa. Ushaleft au
  7. Gordian Anduru

    Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Turudi Kwenye hoja? Jezi imetoka Italia ipi
  8. Gordian Anduru

    Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Swala la kutekwa au kuuwawa binadamu siyo jema kabisa hata Mimi nalipinga sana. Lakini kutufunga kamba kwamba gesi buku mbili siyo sawa pia. Tunaomba bwana kimwaga amwage data zilizopatikana hapo ubalozini
  9. Gordian Anduru

    Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Tulia tupate data za ubalozi kwanza tupate ukweli
  10. Gordian Anduru

    Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Mnazuzuka na QR Code? Qr code Hadi Kwenye risiti za vyoo vya umma zipo. Ushamba kweli mzigo.
  11. Gordian Anduru

    Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Rudia kusoma post wewe slow learner
  12. Gordian Anduru

    Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Unataka viingilio vya timu kubwa vya Nini? Hangaika na kofia ya Sundowns kwanza. Kolo we
  13. Gordian Anduru

    Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Safi haya matusi ni ishara ya dawa kuingia
Back
Top Bottom