Recent content by Good Neighbour

  1. Good Neighbour

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa nzuguni Dodoma kinatazama lami

    KIWANJA KINATAZAMA BARABARA YA LAMI NZUGUNI _______ MAHALI-NZUGUNI _______ UKUBWA WA KIWANJA-3513SQM _______ KINA FENSI UPANDE WA NYUMA _______ DOCUMENT-HATI _______ BEI- 350M (MAONGEZI YAPO) _______ 0622111186 (CALL+WHATSAP)
  2. Good Neighbour

    HUNA KAZI NA UKO DODOMA NICHEK NIKUFUNDISHE UDALALI UJIKWAMUE KIMAISHA

    Natafuta madogo wawili ambao wako mtaani hawana mitikasi niwafundishe udalali wa nyumba,viwanja na magari pengine itawasaidia kwa kipindi hiki ambacho hawana ajira rasmi ukiwa dodoma itakuwa poa zaidi nicheck whatsap-0622111186 GIVING BACK TO HELP THE YOUTHS
  3. Good Neighbour

    Matumizi ya pombe na dawa za kulevya

    Andiko zuri sijui kwann halijapata wachangiaji wengi Ni janga kubwa mno kwasasa
  4. Good Neighbour

    Taja Tabia zinazokukera/kuudhi kutoka kwa baadhi ya Watanzania wenzako

    iyo hapo kwenye mipango ya MUNGU inanikera hakuna mfano Shughulisha akili/waza Mungu katupa akili za nini sasa
  5. Good Neighbour

    Simuelewi anataka nini

    Wewe na dem wako wote ISIDINGO Mnaviziana Tu
  6. Good Neighbour

    Tetesi: Gara B - Mc Ufunguzi World Cup Qatar 2022

    Over-rated Mc Hata dressing pia
  7. Good Neighbour

    Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

    uyu ni mimi kabisa Ana tabia zangu
  8. Good Neighbour

    Anajua natoka na mdogo wake lakini akataka nikampatie

    We sio zero tu ni NEGATIVE KABISA
  9. Good Neighbour

    Tukio gani kutoka kwa mpenzi wako lililokufanya uone mapenzi mateso

    Snipper umepita njia zangu Si tunaitaga unamtaftia sababu ajae
  10. Good Neighbour

    Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

    mkali tuko mashabiki wa hip hop wngi ila unaonekna una mapnzi yako binafsi na 2pac Nas hkuwa mkali kipindi icho ila for what NAS has done to this hip hop game up to now Put some respect on his Name Kila mtu ni mkali kwa muda flani not forever ndo mziki
  11. Good Neighbour

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    anayejua chimbo la T shirt kali ambazo hazina mambo mengi maduka mengi yanauza ma tshirt yenye machata chata mengi. I mean zile T shirt Casual unavaa kokote A.K.A Za kiutu uzima and classic
  12. Good Neighbour

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Zee la BIA NYINGI SANA
Back
Top Bottom