Recent content by godybn2005

  1. G

    Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

    Yuko hivyo alivyo kwa sababu hana shinikizo la kumfanya achange..! Naona theory ya survial of the fittest imsehindwa kuaply kwake..!
  2. G

    Nicholas E. Mgaya amjibu JK

    Kujibu mapigo kunalinda heshima..!
  3. G

    Nicholas E. Mgaya amjibu JK

    NI muhimu Kujibu mapigo ili kulinda heshima ya Wananchi...Jamaa aliyachukulia haya mambo too personal..that is why alikuwa anamention jina la mgaya kila wakati...! Nadhani hajajua kuwa wananchi wanao uwezo wa kumwondolea madaraka hata kama atatumia vyombo vya dola? Mkumbusheni kuwa..hata hao...
  4. G

    Hata Mwinyi amshangaa Kikwete, Serikali lazima ilinde ajira za wananchi wake !

    Jamani..Rais hajui analotenda...! Dira yake iko wapi? Vipaumbele ni vipi? Maslahi ya taifa anayatafsiri vipi? October is around the corner...! " Come..go and chant down the babylon one more time" Mi nadhani..ifikie mahali Wafanyakazi na wakulima watengeneze alliance ya kulinda maslahi yao...
  5. G

    Ni ukweli mtupu Mshahara wa kima cha chini TUCTA wanaoutaka hautekelezeki

    Guys...Hata kama serikali haiwezi kulipa kima cha chini kinachotakiwa..they need to bridge the gap kati ya kima cha chini na cha juu..Hilot u linaotosha kupunguza grievancies..Because..wananchi wanaona namna viongozi wa juu wanavyokamua maisha...! Isitoshe,kuna opportunity ya kuongeza mapato ya...
  6. G

    Wateja TTCL Mobile/BroadBand

    Guys..Mimi natumia zantel..It is damn cheap...I used to have a TTCL na Vodacom 3G modems..but ..Unaweza kufa maskini...Watch out...!
  7. G

    Africa Broadband Revolution 2010. Tanzania Case Study.

    Nimesoma hiyo Broadband revolution..it is good..kuna some progress kwenye masuala ya mtandao day after day...But guys..Mimi nataka kuanzisha business ya Cyber cafe..But I do not know the best Internet service provider..mwenye reliable connection,high speed and reasonable cheap..Nipeni mwongozo
  8. G

    Hizi ndizo nyumba zinazochangia kuenea kwa UKIMWI

    This is too much.....Na huu ni ufuska tunaouona kwenye guest house,hoteli na mdanguro...Vipi ule unaofanyika majumbani? Mmme akienda kazini tu...! Wyf aningiza jamaa......Mama akitoka tu kwenda saloon..Baba anatafuna House girl...Hii ni balaa.
Back
Top Bottom