Recent content by Godoro la kioo

  1. Godoro la kioo

    Watu wa sayansi naombeni majibu juu ya hili

    Inasemekana hata michango inapelekea mimba kuharibika au na yenyewe ni imani tu za watu
  2. Godoro la kioo

    Watu wa sayansi naombeni majibu juu ya hili

    Salaam wakuu, Kama ilivyo ada ukiwa bado unapumua kuna mengi yatakushangaza na kukuacha mdomo wazi iwe kwa kuona au kwa kusikia Sasa bhana leo kuna kitu nimesikia nikabaki nimeduwaa,na ndo kimenileta hapa ili mnipe ufafanuzi wa kutosha Hivi ni kweli kwamba mama mjengo akiwa na mimba then...
  3. Godoro la kioo

    Unaweza kumheshimu mtu mpaka aanze kuzungumzia baadhi ya mambo!

    Kiukweli mimi sijamuelewa maana watu wana njia nyingi za kupata hela vp kama huyo unayemheshimu hizo hela unazomuona nazo kahongwa na mwanaume mwenzake
  4. Godoro la kioo

    Unaweza kumheshimu mtu mpaka aanze kuzungumzia baadhi ya mambo!

    Mkuu kama ndo hivyo kwamba mtu anaekuzidi kipato lazima umheshimu hata kama ana ujinga kiasi gani Basi inawezekana tatizo ni kubwa kuliko tunavyolifikiria
  5. Godoro la kioo

    Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Single mother mtaani ndo wengi ukilinganisha na wale ambao hawajazalishwa maana hao ambao siyo single mother wengi wanafunzi ko kwa nanmna yoyote mtego wa kudate na single mother ni ngumu kuukwepa ,, maana unaweza kuikuta pisi na ukasema hii nimeopoa halafu baadae inakuja kukwambia ina watoto wawili
  6. Godoro la kioo

    Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Inawezekana sema nakuwa mzito kuchukua maamuzi kwa vile sina ushahidi wa kutosha ingawa naona kila aina ya dalili
  7. Godoro la kioo

    Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Ulikuwa na njia nyingi za kuwasilisha maoni yako bila kutukana anyway shukran kwa maoni yako
  8. Godoro la kioo

    Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Ni ile sogea tukae sijamttolea mahari na hata huo mpango sina maana nilimkuta na mtoto ingawa mtoto yupo kwa bibi yake
  9. Godoro la kioo

    Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Salam wakuu. nisiwachoshe moja kwa moja kwenye mada Wakuu kuna binti nimekuwa nae karibia miezi sita Sasa miezi kama miwili iliyopita aliniambia mara nyingi amekuwa ni mtu wa kujisikia hovyo, nikamuuliza anijisikia hovyo kivp Akasema amekuwa ni mtu kuhisi kichefuchefu, muda mwingine...
  10. Godoro la kioo

    Kama umri ungerudi nyuma, kosa gani usingethubutu kulifanya tena kwenye mahusiano?

    Kiukweli kwa mimi Chaputa , ndiyo punyeto kama kuna kosa nililifanya basi ni kumsikiliza rafiki yangu alienishawishi nikaingia kwenye huo mchezo wa kujichukulia sheria mkononi
Back
Top Bottom