Heche jichukulie tu uenyekiti hakuna mtu wa kutoka hapo na kimeo kingine kinakuja facts zilizomtia hatiani ndio hizo hizo zitazombana roporopo ye kila kitu anajiongeleaga tu,minne mingine inakuja mpaka ajue kuheshimu sheria.
Kuchomoka ni ngumu sana wanabishana na jambo ambalo sheria imeweka wazi tena imefafanua kwa kina sana.Mdomo uliponza kichwa kila siku tunaambiwa chunga mdomo wako CDM wao hawasikii.
Hapo hata rufaa hachomoi ushahidi ulio mtia hatihani tayari ulishathibitishwa kwenye ile kesi ya awali maamuzi tayari yapo kwenye sheria hakuna kigeni kilichofanyika na hii ni fundisho kwa mtuhumuwa na wenye malengo ya kuvuruga amani ya nchi hapo asubiri miaka minne au utokee msamaha na kuhusu...
Mi nishatoa tahadhali siku nikimfuma asitegemee msamaha ndoa inaisha hapo hapo yaani ukabebe masha...wa ya watu huko na mimi niogelee kwenye mauchafu na kunifedhesha nionekane naishi na malaya atatafuta mume mwingine.
Ndio maana tunachupuka hao ni kama wanawake watano umeunganisha sifa zao mwanamke mtamu sana hana sifa za kuwa mke,mwenye heshima mvuto hakuna,msomi na anayekwenda na wakati hafai kuwa mke,mwenye shepu nzuri na sura nzuri anajiamini sana any time anapata mwanaume tajiri, wife material mvuto...
Tunasubiri kutimia kwa yale maandiko"tutajinunulia mavazi na chakula wenyewe ili mradi tuitwe kwa jina lako tufichie aibu" mtoa mada pole sana humu single mother ni kama wote hata habari za kuolewa hawana kabisa wanawaza kurushiwa vi laki vya kula na watoto wao wanakuchora tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.