Kipindi tunasubiri majibu, Kwa mujibu wa AI ni kwamba sio manabii wote wanaozungumwa kwenye uislamu ni wayahudi. Nabii Adam, Ismail, Ibrahim, Lut, Idris, Nuh, Muhammad, Saleh, Shu'aib nk hawa sio wayahudi.
Wanasema kuwa ni manabii 25 Tu ndio waliotajwa Kwa majina Kati ya hao laki na ushee.