Ukifungua tovuti yao inatokea kama unavyoona, Ila ni kweli taarifa imetangazwa na wamesema majina yanapatikana kwenye tovuti "www.jkt.go.tz" mimi nimefungua nimepata ujumbe huo kwenye picha
East Africa Television (EATV)
5 mins · Edited ·
‪#‎HABARI‬ HATIMAYE POLISI WARUHUSU MAANDAMANO YA UKAWA TOKA CUF HADI NEC
Baada ya mazungumzo kati ya Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam na Viongozi wa UKAWA, hatimaye jeshi la Polisi limekubali na kuruhusu...
Ni darasa zuri sana napenda liendelee. Hata mimi mara nyingi najiuliza ni kitu gani kinaifanya ndege ipae na hatimaye kutua? Baada juzi juzi tu hapa nilipobahatika kupanda ndege kwa mara ya kwanza yaani mimi macho yalikuwa kwenye dirisha nikiangalia jinsi bawa la ndege linavyofanya kazi...
Jamani tunaomba majibu ya uhakika kutoka TCRA, TBC, Star TV na Channel ten.
Hata mimi ni mmojawapo kutoka Mbeya hizo hazipatikani kwenye Dish. Mimi natumia dish la futi 8.5. Nimefanya jitihada kubwa ya kupata chaneli hizo tena kwa kutoa tv set nje halafu nikapanda kwenye dish kuliseti vizuri...
Ahaaaa. Kumbe matangazo ya TBC1 yamezimwa kwenye Satellite toka juzi kama sikosei ili Wanamtwara wasiweze kupata hotuba ya Wizara ya Nishati na madini? Maana nimepanda ngazi ili kurekebisha dish nikidhani limeyumba kumbe hapa, chaneli zingine zinaonekana kama kawaida tena kwa signal nzuri...
Hili ni darasa kubwa sana. Nimesoma karibu post zote kwenye hii mada na inaonekana tatizo ni njia za kisasa na wengi wanashauri njia ya asili.
Hebu wataalamu wa njia hii ya asili (kalennda),
Kuhesabu siku za hatari na salama kwa yale mambo yetu haina tatizo, Tatizo lipo pale mama amejifungua...
BARAZA LA MITIHANI LAIKANA PAGE YA FACEBOOK INAYOTUMIA JINA LAKE
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limesema matokeo ya kidato cha nne bado hayajakamilika na kuwa habari zilizozagaa wiki hii kuwa yapo tayari si za kweli.
Hata hivyo Baraza hilo limebainisha kuwa licha ya kutokamilika...
Ni kweli kabisa nimechunguza kwa makini nimegundua kuwa NECTA hawana Facebook Page, Inaonekana kuna kichaa mmoja kairegister kwenye facebook kama ndio yeye Necta.
Kuchunguza ni rahisi sana, hebu linganisha details za kwenye hiyo page ya fb na zile za kwenye site ya Necta utaona vitu tofauti...
Mimi binafsi naipongezi serikali kwa kufikia hatua hiyo ya uwanja. TUache kuiponda serikali kwani huu ni mwanzo tu.
Kumbuka hata wewe unapojenga nyumba mpya na kuhamia haimaanishi ujenzi wa nyumba hiyo umekamilika. Unaweza kujenga mpaka hatua fulani halafu ukahamia na kisha ukiwa umehamia...
Nami naungana na mtoa hoja, Maana hata mimi toka mke wangu ajifungue kwa njia ya kawaida kichwa kinaumwa mtindo mmoja. Alipomuuliza daktari akamwambia atumie panadol. Lakini hali bado inaendelea, akitumia panadol maumivu yanatulia ila akiacha tu yanarudia tena.
Tunaomba wataalamu wa hapa JF...
Nanukuu: "Endapo maziwa hayajatoka siku tatu baada ya kujifungua unaweza kuongea na daktari wako kuhusu kumpa maziwa mengine kwa muda (hadi hapo maziwa yatakapotoka) ili mwanao apate lishe ya kutosha na asipoteze uzito bila sababu.
Usiogope endapo mwanao atapungua uzito siku za mwanzoni.Watoto...
Nawashukuru wana JF kwa masomo mbalimbali yanayotolewa na wataalamu wetu humu ndani likiwemo somo la leo. Nina swali. Kama mwanamke amejifungua halafu maziwa hayatoki Je kwa mtoto aliyezaliwa ambaye ana siku moja je haiwezi kumletea shida mtoto? Maana hata mama yake akijaribu kumnyonyesha bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.