Recent content by glass amo

  1. glass amo

    Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Joana ana ona watu usiku❤️💯
  2. glass amo

    Kutekwa Kwa Twaha Mwaipaya: Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya polisi Wala Serikali wakati ni mtanzania mwenzetu

    Mtekaj number moja habar Kumbe za ccm, hao wauwaji na watekaji, nikajua kahamasisha kuchoma nyumba yako
  3. glass amo

    Kutekwa Kwa Twaha Mwaipaya: Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya polisi Wala Serikali wakati ni mtanzania mwenzetu

    Ni Bora wakiuana wenyewe kwa wenyewe kuliko kutoa uhai wa innocent people, familia wakitoana kafara kwa ajili ya maslah yake sio vibaya kumbuka
  4. glass amo

    Tume ya Jaji Lila yaanza, kusaka waliopanga kufadhili Ghasia za Oktoba 29

    Kama watu walifadhili maandamano je nani alitoa order ya kuua watu?
  5. glass amo

    Kutekwa Kwa Twaha Mwaipaya: Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya polisi Wala Serikali wakati ni mtanzania mwenzetu

    Chadema ifutwe Ili tuishi kwa amani bila kutekana na kuuana, Ili ccm Aishi kwa furaha
  6. glass amo

    Namkamataje dereva wa lorry la Mohammed Enterprises TanzaniaLimited (METL)aliefanya wizi kukimbia? Msaada

    Great idea 💡, na akifanikiwa asi sahau kudai fidia ya muda na pesa zake alipoteza kumtafuta🙏
  7. glass amo

    Tunashindwaje kumwamini na kumtegemea Mungu wakati sisi ni waamini?

    Atujua tu dhaifu na kwa msaada wake tuna yaweza yote. Lakin japo kua Mungu ana keti katikati yetu Kuna muda tuna hofu. N sawa kabisa kibinadamu🙏
Back
Top Bottom