Recent content by GITWA

  1. GITWA

    Mtanzania aharibu mali za Bosi wake Mchina baada ya kutolipwa mshahara

    Alichokifanya huyo operator kinaakisi mioyo ya watanzania wengi ila ujasiri wa kutenda wanaukosa pindi wanapoonewa. Kwani wanapoenda kudai haki zao kwa mujibu wa sheria wanazungushwa na wakati huo hawana namna ya kujikimu. Matokeo yake wanapoteza haki zao, muda na pesa ambayo ingewasaidia...
  2. GITWA

    CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

    Iwapo Lisu mwenyewe haombi msamaa kwa kuwa anaamini\anajua hana kosa hilo wanalomtuhumu kwalo, Je Heche anaingiaje hapo na kumsema ana kiburi? Au ni propaganda za kumfifisha na kumfitinisha Heche na wananchi?
  3. GITWA

    Mke hata kama ana kipato, ni haki yake kisheria kutunzwa na mume wake

    Tuseme sawa sasa Je pesa ya mwanamke ni ya kazi gani katika familia?
  4. GITWA

    Tetesi: Baraza la mawaziri kuvunjwa

    Mh!!??
  5. GITWA

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tukumbushane, leo tuna cheza. Kijana wetu wa zamani (Jackson) kaizamisha man shit
  6. GITWA

    HOJA Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi?

    Kwa sasa ukienda kwa mkuu wa gereza mabalia unaomba wafugwa kukufanyia kazi na unatoa maelezo ya ain aina ya kazi inayotakiwa kufanywa. Mnakubaliana malipo na kamati ndogo ya fedha ya geraza alafu unclip unalipa na kazi yako inafanywa. Nimeona hivyo hata kwa wakulima wakubwa huko Manyara.
  7. GITWA

    Kwa Zena hatoki ntu?

    Du! Nisije furahi nikatumi Kodi ya mwenye nyumba alafu kumbe nyumba haijaisha.
  8. GITWA

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na bado roho zitawauma sana tu.
  9. GITWA

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na imeisha bila sare wala red card. The blues tanaanza kujipata.
  10. GITWA

    POTOSHI Ukijenga kabla ya ndoa, ukioa nyumba ni ya wote mke na mume?

    Je? Iwapo mke ndio alijenga kabla ya kuoana napo itakuwa ya wote?
Back
Top Bottom