Recent content by Giningi01

  1. Giningi01

    DOKEZO Uchafu umezagaa Mitaa mingi ya Manispaa ya Mpanda, wahusika hamuoni? Mvua zikianza itakuwaje?

    Nimeona mjusi tu ,sijaona uchafu wowote. Hongera Sana Manispaa ya Mpanda.Endeleza juhudi zenu maana wakubwa zenu sio mfano mzuri wa kujifunzia mambo ya usafi.
  2. Giningi01

    Ulikuwa unabebaje begi lako kipindi uko shule?

    Tulikuwa wengi katika hii style lakini ajabu hawaijui
  3. Giningi01

    Rafiki Yangu above 30 Hana Nguo za Heshima, Kabati Lake Limejaa Jeans!

    Itakuwa Bukoba hiyo, Nina jeans nyingi hata idadi sijui, Nina suti pia. Bahati nzuri kazi zangu sehemu kubwa ilikuwa field hivyo suti zinasubiri matukio makubwa lakini nyingi zinaishia kuvaliwa mara moja au kutovaa kabisa. Kwangu jeans ni vazi la heshima kabisa.Mwenzangu mmoja alifariki, wakati...
  4. Giningi01

    Kila nikipost picha yangu lazima nikutane na comment yake 'Cheusi Mangala mwenyewe', inaninyima amani

    Tafuta huo muziki wa cheusi mangala usikilize kwa makini, sijui aliimba nani huko miziki ya zamani, utaelewa ujumbe anaokuja. Kama ni jirani yako ameona afikishe ujumbe kwa njia hiyo.
  5. Giningi01

    1978 Watoto wa Rais Nyerere walienda vitani Mutukula kupigana dhidi ya Uganda iliyosaidiwa na Libya na ndugu zao Palestina!

    Sa Safari hii ni ndefu Sana, dini ikiguswa tu basi vichwa vinaachana na ubongo.
  6. Giningi01

    Orodha ya Wanawake kumi (10) mashujaa na viongozi bora kuwahi kutokea Tanzania

    Hiyo ni orodha, kama hivyo uzi sio sahihi, hii ni kama upo kwenye assignment ya demographic report
  7. Giningi01

    Inasikitisha kanisa katolilki nalo limeingia kwenye kundi la makanisa ya mchongo; ushahidi huuu hapa!

    Lengo ni nini? Kanisa limefanya makubwa kama serikali tu, sababu za kitenge kuingiza hapa inaelekea nia ovu ilikuwepo, uzi wako hauna cha maana.
  8. Giningi01

    Maisha Kitendawili: Ole Sabaya Kapauka utadhani katoka Jela jana

    Comments zinafanana na majina yao, jf bw.
  9. Giningi01

    TANZIA Henry Kissinger, Mwanadiplomasia mashuhuri zaidi wa Marekani afariki akiwa na umri wa miaka 100

    Nikisoma mgogoro wa Iran na US mwaka 1953 na CV ya huyu mzee naona Sera za Marekani zinazolalamikiwa zilianza kabla yake, atakuwa amechangia kusimamia au kujazia palipopungua.
  10. Giningi01

    TANZIA Henry Kissinger, Mwanadiplomasia mashuhuri zaidi wa Marekani afariki akiwa na umri wa miaka 100

    Wa kwetu alikuwa anamjua Sana janja za Henry Kissinger,kwa kifupi alikuwa hawezi kudanganywa. Na Kissinger alimkubali Mwl.
  11. Giningi01

    Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

    Unaenda kunegotiate issues na ujumbe ambao hawajajiweka wazi kama unafanana nao au wao ni la saba? Then unababaika babaika tu, wao wanatazamana usoni,unajisikiaje hapo? Kuna mtu yalimkuta.
  12. Giningi01

    Benjamin Netanyahu: Kumuua kiongozi wa juu wa Iran ndio kutamaliza mzozo

    Itakuwa hivyo hivyo kama hamas tu,anayeingia anakula chuma
Back
Top Bottom