Recent content by Gichbo

  1. G

    PreGE2025 LGE2024 Kati ya mkutano wa Lissu, Lema na Kigaila upi ndiyo msimamo wa CHADEMA?

    Shida nini kada,kifo cha CHADEMA si ndio furaha yenu sasa mnateseeeka,kwanini!? 😂
  2. G

    Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

    Ndo watake kumteka!?,kazi ya vyombo vya sheria ni zipi!?.
  3. G

    Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

    Muuaji yule na alivyokua anawachukia na kuwaona maadui wangeunganaje nae
  4. G

    LGE2024 Mchengerwa: Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi

    Demokrasia ni km DNA kada,rudisheni mfumo wa chama kimoja yaishe maana hampo tayari
  5. G

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

    Huyu jamaa kimoyomoyo bado yupo alipotoka 😂😂😆
  6. G

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

    Luca mbona unamgeuka chawa mwenzio!? 😂
  7. G

    Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?

    Acheni upuuzi, wapo wanawake shupavu ktk mataifa makubwa mfano Margaret Thatcher kwa Uingereza na Angela Merkel kwa Ujerumani na wamefanya makubwa
  8. G

    Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?

    Naungana na wewe,kumekua na viongozi wanawake shupavu ktk mataifa makubwa mfano Margaret Thatcher kwa Uingereza na pia kansela wa Ujerumani Angela Merkel
  9. G

    Najaribu kufananisha Makao makuu ya Chadema Mikocheni na hili Hekalu la Efatha kwa Nabii na Mtume Mwingira Mwenge!

    Hiyo ndio aina ya makada wa chama chakavu,Yohana huyu ni mnafiqw kuliko member yeyote huku jamvini,yupo kama panya buku,refer case ya ugaidi ya Mbowe ndio utajua ni mtu wa aina gani japo ni muelewa wa mambo mengi ila bingwa wa kuhamisha magoli
  10. G

    Kwanini CCM inavidharau Vyama Vyote vya Upinzani isipokuwa CHADEMA tu?

    Wewe na Luca tofauti yenu ni moja,yule ni zwazwa kama mwanaume aliyerogwa kwa kuwekewa shuntama na mke wake alafu wewe ni kada mnafiqw 😂😂😂,Yohanaaa!!!.
  11. G

    Kwanini CCM inavidharau Vyama Vyote vya Upinzani isipokuwa CHADEMA tu?

    Yohana huwa ni mwezi nchanga yakhee!!, 😂
Back
Top Bottom