Pole kwa wafiwa, pia wafiwa wapate faraja na uvumilivu.
Huwa ninajiwazia mimi. Nikifa, hapa JF haitajulikana. Jina langu, ninalijua mimi tu, kuwa ndiyo mimi!
Mi nafikiri wapo sahihi! Huwa sioni maana na sababu yoyote, kuacha 'move' iendelee, wakati unajua kinachoendelea, hakina maana kwa wakati huo. Watu wanafurahia goli, ndipo unamuona linesman anainua kibendela.
Kama lengo ni robo fainali, basi ni kuferi. Kwani jirani, kafika sana hapo, na akawa anakejeriwa kuwa ni "MWAKAROBO!"
Kocha 'MPIGA MITI' aliahidi, si kufika fainali tu, bali kuuchukua ubingwa, AKAFURUSHWA!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.