Recent content by ggg

  1. ggg

    Huyu mwanaume ana makosa?

    Thanks mtu wangu kwa jibu lako. hatujui nini hasa undani wa historia ya hawa wawili, tena ni wanandoa.
  2. ggg

    "kojoa dear"

    Hiyo imetulia. Patamu zaidi dogo asikie mnaambiana hivyo, wakati akikojoa yeye ni varangati zito. lazima aandamane.
  3. ggg

    "kojoa dear"

    Sipati picha kama dogo anawasikia mnaambiana hivyo, alafu akikijoa yeye kosovo inaamia kwake, lazima aandamane.
  4. ggg

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    Suala la kufa kuna sababu nyingi sana mkuu, kama wewe moyo na roho yako vinakwambia babu ni washetani, usiende, ila kama lah! nenda. wewe kina kuuma nini? na kama ni hvyo kwani kuna dini ngapi duniani, hizo zote ziko sahihi according to wewe? kama hapana, bsi achana na babu. Wababu ni wale...
  5. ggg

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Uko sawasawa mkuu. mara nyingi kwenye maongezi kuhusu dowans huwa nanyamaza kimya kwani huwa nawaza tofauti na watu wengi kwenye hiyo madahalo, Nilichogundua watu wengi wanasema fedha zinaibwa, ila hawasemi zinaibiwa vipi?. kutokana serikali kuandamwa na matatizo mengi, so hata ili pia...
  6. ggg

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    no mkuu your talking 100% sense. Mkuu umetoa nenoooooo!.i it seems about 60 to 70% mambo ya dowans yanatuchanganya.
  7. ggg

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Sasa hayo yote wakati wanasainishana mkataba hayakuonekana?. na kama ni hivyo mitambo ya dowans juzi iliwashwa, ikaingia megawats 37 kwenye grid, ni kwa minajiri ipi?,na sasa wamezima wakidai kuwa mkataba usainiwe kwanza, au hivyo vipengere vitatu vinahusu wakati uleee na sio sasa?, ndio maana...
  8. ggg

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Utakuwa umefilisika kimawazo, toa unachokiwaza. then conclude.
  9. ggg

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    That sound great! THANKS FOR THE EXPLANATION, mi nafkiri watu waache jazba, wajaribu kuwa optimistic wanapojaribu kuangalia ishu kama hizi. Mimi ni mmoja wapo wa wale waliokuwa wakisumbuka sana kuelewa hii ishu ya richmond inavyokwenda.je ishu ni nin hasa? 1: wamiriki wa hyo kampuni? 2:AU NI...
  10. ggg

    Msuya: Sijui kwa nini tuilipe DOWANS!

    Mesage iko sawa kabisa, serikali ya Tanzania inaendeshwa na watu wasio na wito wa uongozi, Rais amekosa maamuzi ya busara, na hata akiamua hakuna wa kumbadilisha, rushwa imetawala kila mahala.Mi nimeboreka kuishi bongo jinsi mambo yanavyo enda, nikipata chansi nasepa fasta (mwana rangi ya...
  11. ggg

    Simuelewi

    Uko laiti guy. Kwani ''Ulimpendea nini''?.chetuntu mbona hivyo bana.
  12. ggg

    Nchi ipi ilimpongeza Kikwete kwa ushindi!

    bila kusahau zimbabwe, maana hao wote ndio walewale wazee wakutumia mabavu yao
  13. ggg

    Who is Mary Chitanda?

    ''hilo nalo neno''
  14. ggg

    Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

    Unanikwaza aspirini.
Back
Top Bottom