Recent content by Gentle16

  1. G

    Ombi la kubadilishana kituo cha kazi kwa Afisa Afya

    Mimi ni Afisa Afya wa Kata katika Wilaya ya Mkalama, Mkoa wa Singida. Natafuta mtumishi mwenzangu aliye tayari kubadilishana kituo cha kazi na mimi kwenda mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro au Singida. Mwenye nia ya kubadilishana au anayefahamu mtu anayehitaji nafasi ya kwenda Mkalama...
Back
Top Bottom