Recent content by Ganjafarmer

  1. G

    Shilole apata ajali akitoka kushiriki 'Pilau day' Kigoma

    Mungu saidia ng'ombe apone haraka akaendelee na majukumu yake
  2. G

    Jinsi ya kujilinda na watekaji

    tindikali inapatikana wapi?
  3. G

    KERO Barabara ya Mjimwema (Kigamboni) kwenda Dege ina makorongo sana

    mashimo kama drafti ukikwepa moja unaingia la pili yake Leo niliona malori mawili yamepiga chini sehemu mbili tofauti kwaharaka nikajua tu chanzo ni kukwepa mashimo
  4. G

    Tunapoteza muda, maandamano ya amani ni kwa ajili ya makongamano

    huu ni ujinga maandamano ya amani wakati watawala wenyewe hawajali kuhusu amani? Yale maandamano ya mo29 ndio yanafaa kwa serikali yenye dharau kama hii choma kila kitu kuanzia hapo ulipo
  5. G

    PostGE2025 Sheikh Nurdin Kishki: Yanayoendelea nchini 90% yana msukumo wa upande wa kushoto

    "mtanzania mwenye asili ya Asia " akili yangu ilikataa kabisa kukubaliana na hii sentensi
  6. G

    Ni kweli uwezo wa kijana Mika Chavala kifikra unazidi nusu ya wabunge wote wa mchongo?

    watu wenye akili hawatakiwi kwasababu ni tishio kwa majambazi yanayojiita serikali
  7. G

    Sipo tayari kuandamana tarehe 9 bila silaha ya moto, Bora nilale

    Sema kweli bana isije ikawa kama wale waliotujaza upepo kwamba jeshi lipo upande wetu kumbe lilikuwa linatusimamia ili tupigwe risasi vizuri
  8. G

    GE2025 Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura?

    kama uchaguzi unaendeshwa isivyo halali maana yake walioandaa uchaguzi usio halali wamefanya uhalifu kwa vile waliondaa uchaguzi wapo kwenye nagzi za juu ambapo raia wa kawaida hawakua na uwezo wa kuwazuia waandaaji wa uchuguzi kuandaa uchaguzi usio halali tuna muhesabia huyu anaye kwenda...
  9. G

    Prayer Alter for Humphrey Polepole

    Huu ujinga umechangia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa polepole unae pambana nae anatumia akili wewe unategemea miujiza kama majimaji rebellion
Back
Top Bottom