Recent content by Gabraison jr

  1. G

    Magamba na uchukiaj wa maon ya wanajf

    A nation that is afraid to let people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people
  2. G

    Wasomi na utumwa kwa wanasiasa

    mbeya shule ipo chunya kaja shule badala ya kuongea yanayo2husu kama upungufu wa walim,library,laboratory maj n.k ye ana2mia dakika 25 ku2ambia masuala ya barabara dakika 5 kushukuru na kuondoka
  3. G

    Wasomi na utumwa kwa wanasiasa

    Jamani wana JF hili la wasomi kuwa watumwa kwa wanasiasa litakoma lini?maana hal ni mbaya sasa wameamia had mashulen kwa mfano leo mkuu wa mkoa alizulu shulen kwetu na kuongea pumba zake kwa dakika 30 lakin yapata wiki hatujasoma kufanya maandaliz.je nini kifanyike?naomba kuwasilisha
  4. G

    CCM Ruvuma yathibitisha kweli haiwezi kufanya maamuzi magumu kama ya CHADEMA!

    Tatizo la ccm mkoa wa ruvuma ni nchimbi yule mwenye masikio madogo
  5. G

    Hili la Nchimbi Butiama limekaaje?

    Huyu nchimbi ni bonge la kilaza huku songea hatuna umeme wiki ya pili ye anakula bata ndiyo maana Mungu kamlaan kampa masikio madogo sana kama ya kenge
  6. G

    Siku za CCM kuitwa wapinzani zakaribia

    Hebu 2ungane kudai katiba mpya ambayo ndani yake itakuwa na hiyo tume huru ndipo ccm itaangamia
  7. G

    Siku za CCM kuitwa wapinzani zakaribia

    yah hilo halina tatzo kama CDM wakiwaelimisha na kuwahamasisha watanzania wa mikoa ya pembezon hususan Ruvuma ccm itafika kikomo
  8. G

    Siku za CCM kuitwa wapinzani zakaribia

    Chama cha magamba kimepoteza mvuto wake mbele ya watanzania waliowengi kutokana na sera yake ya kukumbatia mafisad na kutotekeleza waliyoahid wengi wautabiri mwaka 2015 ccm haitakuwa tena chama tawala bali ni chama cha upinzani
  9. G

    Muziki wa bongo fleva

    poa lakini studio nyingi ambazo zpo ni uchwara
  10. G

    Muziki wa bongo fleva

    2kiwa kama wadau wa muzik huu wa bongo fleva hebu 2jadili ukuaj wake.wapo wanaosema bongofleva inaelekea shimon na wapo wanaosema inakua ukiwa kama mdau una maon gan?
  11. G

    AU recognizes NTC in Libya! Tanzania kufuata mkumbo?

    Kwa chombo kikubwa kama AU kukosa common standing ni hatar kwa waafrika maana 2taendelea kuonewa had siku ya mwisho
  12. G

    Nini kinaisibu dar young african?

    Unafikir ikishuka daraja nini hatma ya mpira wa bongo?maana wengi wanaamin bila yanga na simba bongo hamna mpira
  13. G

    Nini kinaisibu dar young african?

    <br /> <br /> kama tatzo ni uongoz bas wameet wamalze tofaut zao ili kuinusuru yanga but msmamo wangu ni kuisapot jkt ruvu
  14. G

    Mrisho Mpoto

    Sham on you
  15. G

    Nini kinaisibu dar young african?

    Simba na yanga ndizo zlizochangia timu hzo kushuka daraja kwa kununua mech hebu tuzpe sapot tuone@shakazulu
Back
Top Bottom