Recent content by G.T.L

  1. G.T.L

    LHRC: Hakimu alikataa kuyarekodi majina ya baadhi ya mashahidi waliotajwa na Lissu

    What goes around comes around
  2. G.T.L

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Nakubaliana na wewe 10000% hakuna Mungu duniani ni imani za kipumbavu tu. Mungu gani anaruhusu haya madudu
  3. G.T.L

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Usilie sana my dear, I hope kuna Room ya kukata Rufaa na kosa la uchochezi lina dhamana
  4. G.T.L

    Yale mahojiano yake na 'The Chanzo' yameondoka naye? Inaonekana alikuwa anajua mengi

    Kwa ile hali huenda ni Natural Death, lakini kwa hali ya hii nchi ya sasa lolote lawezekana.
  5. G.T.L

    TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

    Pumzika kwa amani Baba yetu 🙏 Naumia sana kuona TAL anakosa kumuaga kaka yake katika mazishi. Too Sad 😓
  6. G.T.L

    Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

    sanaaa aiseee inachoma maini 😓
  7. G.T.L

    Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

    Wow wow! Kalpana nimekupenda bure kwa hii kitu. Hii instrumental ipo mpaka leo RFA kwenye kipindi cha matukio saa 1:00 asubuhi baada ya magazeti. Kalpana 😘
  8. G.T.L

    KUMBUKIZI | Diamond Platnumz: Ukinifungia nyimbo, mimi hakunipunguzii Kitu, nita-perform Nchi nyingine

    Mkuu unatuletea habari ya 2018 au ulikua gerezani ndo umeachiwa huru?
  9. G.T.L

    Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

    Jamaa ana sauti ya kipekee aisee kipaji kikubwa
  10. G.T.L

    Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

    Mzee King Kong, kumbe tulikua pamoja alhamis nilikua nimechill na mama watoto kitandani tunasikiliza hicho kipindi cha Millenium. Faustine Stephano X Wambura Mtani
  11. G.T.L

    Naomba kufahamu kuhusu Magonjwa yasiyoambukizwa.

    Jambo moja linachangia katika hoja hii ni kwamba, zamani tulikua na maisha ya kuushughulisha mwili zaidi tofauti na sasa. Kwamba, zamani hakukuwa na vyombo vingi vya usafiri kama Bodaboda na magari ya kwendea kazini, nyumba za ibada au Shughuli zingine za kijamii. Hali hiyo ilitufanya kutembea...
Back
Top Bottom