Recent content by G shange

  1. G

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    allypipi Mzee unatuhujumu wewe na amorini khaaa. Amorin acheze 4 3 3. Allypipi usitabiri. Tutarudi kwny ushindi. Ila amorini kila siku anasema habadilishi structure labda ineos wambadilishe yeye😄🙌
  2. G

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bila kutoka kwny back 3 kwenda back 4. Na viungo wawili hapo kati pamoja na bruno kurudi 10. Amorin hata weza kufaulu united.
  3. G

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Allypipi akiacha prediction zake kwa man u. Tutakua tunashinda mechi nyingi. Jamaaa ana gundu na prediction hasa za GGMU
  4. G

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa hali ilivyo bila kubadilika na hiyo backline ya tano. Hawezi kutoboa.
  5. G

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bora hata toka mwanzo kabsa angeanza na madogo wawili au mmoja baadae angefanya sub.
  6. G

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sema ten hag sielew kwann alimnunua malacia(he is too average kwa kweli)
  7. G

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Jmoss tupo na hawa wachawi wetu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji55]
  8. G

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kuna antony taylor na andre mariner. Ukiwaona tu hao ujue iyo siku ma u ana kazi ya kufanya. Sasa jana taylor alikua kati na mariner kwny VAR [emoji119][emoji119] Kuna ile mechi na aston vila november taylor alifanya yake pia
  9. G

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Poapoa mdgo wangu. Hongera pia
  10. G

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Antony taylor akichezesha mech ya man u. Jua hapo kutoa ni mbinde Huwa nikishamuona najua leo kaz tunayo[emoji23][emoji23]
  11. G

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Embu mtafuten assnal maana notingam na tim kubwa zote zinaonekana[emoji23][emoji23]
  12. G

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Atletico ni mataco kabsa odds 49 zote et dakk ya 92 umbwa hawa kbsa .
  13. G

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Better off rashford kuliko sancho. Sancho yupo off dakika zote.
Back
Top Bottom