Mechi ndo zimeisha leo Tunisi vs Zambia ni moja moja wakati Cameroun imepigwa moja na Gabon.
Alafu Essien ndo ameshafika Angola baada ya kukwama kupata ndege toka UK kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa
Ivi inakuwaje mtu mzima na akili zako unatoa maamuzi based on sheria za toka 1970s lazima uwe mwoga kama uko timamu otherwise unakaa kimya tuu as utaonekana kituko.
Utu tusheria twa kikoloni kuanzia kwenye BIMA mpka mambo ya habari lazima tuvibadilishe!
Jamani mimi sishangai maisha ya watz wengi ni maafa tuu thus mtu akiona ivyo anatake easy tofauti na wenzetu maisha yao ni shavu kwa kwenda mbele.
Above all kutoa ni moyo ila uwe nacho sasa cha kutoa!
Hakuna kitu kibaya kama kumtuhumu mtu bila kuwa na ushaidi mtu mzima waweza onekana mzushi bure.
Kama ni kweli twaitaji testmonies tafadhali otherwise JF isiwe kijiwe cha majungu as ata HADHI yake yaweza shuka.Currently watu wengi wanajua apa ndo credible source ya info on Tz mazuri na mabaya...
Tunayaona ya BoT, hayana mjadala kazi inafanyika na chini ya uongozi wa nani?
Mbona kafara ni ya Balali tuu,na wadogo wadogo wengine
-Tunayaona ya kina Lowassa, kazi inafanyika na chini ya uongozi wa nani?
Infact ni shinikizo la Kamati ya Mwakyembe na Bunge otherwise ilibidi awe proactive...
Natumai JF itazidi kupasua anga na nawakaribisha wale wote ambao wamejoin recently.
To me naona ni haki ya kila mtanzania kupata the right information at the right time ili aweze jua nini kinachoendelea ndani na nje ya Taifa la Tanzania.
Mungu ibariki JF,idumu milele
Cuba's ailing leader Fidel Castro has announced he will not return to the presidency, in a letter published by official Communist Party paper, Granma.
"I neither will aspire to, nor will I accept, the position of president of the council of state and commander in chief," he wrote in the...
Cuba's ailing leader Fidel Castro has announced he will not return to the presidency, in a letter published by official Communist Party paper, Granma.
"I neither will aspire to, nor will I accept, the position of president of the council of state and commander in chief," he wrote in the...
A "large" US spy satellite has gone out of control and is expected to crash to Earth sometime in late February or March, government sources say.
Officials speaking on condition of anonymity said the satellite had lost power and propulsion, and could contain hazardous materials.
The White...
Nasikia ratiba yake kwa Africa ni kama ifuatvyo
Benin - Cotonou: arrival ceremony, meets president
Tanzania - Dar es Salaam: meets president, tours hospital; Arusha: tours hospital, textile mill and girls' school
Rwanda - Kigali: meets president, visits genocide memorial
Ghana - Accra...
Daimon na Harrison ninavyowafahamu ni mtu na mdogo wake meaning Daimoni ni mkubwa na Harrison ni mdogo wote wakiwa wanatokea Mbeya,wilaya ya kyela kijiji cha Ikolo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.