Recent content by fyddell

  1. fyddell

    Lengo la Serikali ni kuongoza Broken Families, kwani ni rahisi kutawala watu chokoraa wasio na familia.

    Mtibeli hapa umegusa kiini kikuu cha maendeleo au kusinyaa kwa jamii. Jamii yenye elimu na ujinga mchache hawana uwoga na hawaendeshwi kama ndezi au nyumbu. Viongozi lazima wawe accountable to what they do. Lakini nani wa kuisanua jamii kama sio mimi, wewe na yule? Tuongeze juhudi katika hili...
  2. fyddell

    Neno samahani lilivyookoa ndoa yangu iliyokuwa inaelekea shimoni japokua......!!

    Usirudie kosa na mpe uhuru wa kukaa nawe muda mrefu + simu yako kama kweli huna makando kando. Kuoitia uwakika wa mawasiliano unayoyafanya na vitu unavyoongea nae unapokuwa nae muda mwingi vitarudisha imani yake juu yako.
  3. fyddell

    LHRC: Hakimu alikataa kuyarekodi majina ya baadhi ya mashahidi waliotajwa na Lissu

    Ni haki yake ya msingi kuwataja na ilipaswa waingie kwenye kumbukumbu za kesi yake. Hata wewe angeweza kukutaja tu
  4. fyddell

    Je, North Korea inaogopwa?

    Ndiomana macho yao yote yapo Afrika. Wanasagana huko kwao, jicho la mwisho ni jinsi ya kuitawala Afrika kwa mara nyingine mkuu.
  5. fyddell

    Kelele za Katiba mpya zinatoka kwa watu wasiozidi 100 tu. Tuwe makini na vipaumbele vya wananchi

    Yaani nipoteze muda kukupa shule wewe unayesema watu wanaodai katiba hawazidi hata 100?! You're damn fool, can't waste my precious time on it.
  6. fyddell

    Kelele za Katiba mpya zinatoka kwa watu wasiozidi 100 tu. Tuwe makini na vipaumbele vya wananchi

    Mkuu kwanini umepoteza muda kulielewesha jinga hili kitu ambacho is very obviously? Sasa kama mtu hajui THE ROLE OF CONSTITUENCY IN THE COUTRY kuna haja hata ya kujiuliza uwezo wake wa kufikiria kweli? He's an empty pot in the kitchen
  7. fyddell

    Kelele za Katiba mpya zinatoka kwa watu wasiozidi 100 tu. Tuwe makini na vipaumbele vya wananchi

    Binafsi nakuita mpumbavu kwasababu inawezekana unajua nini maana ya katiba na role yake katika ustawi wa nchi na jamii yake kiujumla ila unajitoa ufahamu kutetea kitu ambacho is direct wicked. Nadhani hata wanaojaribu kuficha ficha ujinga unaofanyika na serikali hii wanaumiza kichwa ni jinsi...
  8. fyddell

    Kelele za Katiba mpya zinatoka kwa watu wasiozidi 100 tu. Tuwe makini na vipaumbele vya wananchi

    Mkuu huyu mleta mada inaonekana hata maana ya katiba hajui. Kazi ipo kweli kweli na ndio maana Lowasa kipaumbele chake kilikuwa "ELIMU, ELIMU, ELIMU".
  9. fyddell

    Lissu kupata msamaha wa Rais?

    Ndiomana qanaojielewa wanadai katiba mpya yenye vipengele au nguvu ya rais kumchagua anayemtaka. Nguvu ya wananchi katika taifa lolote la kidemokrasia lazima iheshimiwe
  10. fyddell

    Lissu kupata msamaha wa Rais?

    Kosa alilofungwa nalo(Uchochezi) lina dhamana, inawezekana hata huko December isifike. Hii habari ya mama kutaka kumsamehe ni kuonesha tu kuwa mama anajari lakini hiko kitu hakipo kwasababu ma judges wamecheza blunders na waliowatuma na baada ya kuona maoni ya magwiji wa sheria sasa serikali...
  11. fyddell

    Kwanini wanaume tukinyonywa chuchu tunahisi msisimko?

    Yaani wewe hata biology ya O level tu kichwani mwako huna dah🤣🙌
  12. fyddell

    USHUHUDA: Ukituma nauli na asije usipanick, fanya hivi

    Haha nzuri kwa kuwakuwaambia vijana wakurupukaji, binafsi huwa silalamiki hata ikikatika week nzima bila kutokea sana sana nitamtext tu "Have a tasteful n wonderful night mrembo" bhaas Kwa mustafa huu hutajuta hata kidogo kwanini ulituma nauli. Ikitokea siku mmekuta wala usimuattack zaidi ya...
  13. fyddell

    Mabalozi na Wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa Wafurika Mahakamani kujionea Mahakama ikigeuzwa Dodoki la kusafishia Watawala, Wapigwa butwaa

    Unapelekwa mahakamani kwa kesi ya kubaka then unahukumiwa kwenda jera kwa kosa la kupiga punyto🤣 My poor Tanzania
  14. fyddell

    KUTOKA UHAINI HADI UCHOCHEZI: Uchambuzi wa Kisheria na Kisiasa wa Hukumu ya Tundu Lissu na Mustakabali wa Demokrasia Tanzania

    Mimi niseme nini tena hapa kama wewe mkuu umeshamaliza kila kitu katika uchambuzi huu ulioshiba. Atakayesoma hapa na asielewe bhasi tena🙌
  15. fyddell

    Wachochezi hapa ni serikali na majaji; ni vipi umshitaki mtu kwa kosa la uhaini kisha umuhukumu kwa kosa la uchochezi?

    Yaani DPP na majaji kufuata maelekezo kutoka kwa mtu asiyejua nini hata maana ya sheria ni kichekesho cha dunia 🤣🙌
Back
Top Bottom