Recent content by Futuza

  1. F

    Ukienda Mjini kutafuta Maisha hakikisha unafanya haya

    Hii ni kweli,ukitoatoa shahawa bila mpangilio zinaondoa kinga na nguvu ya mwili kiroho..wanawake Wana gundu Baya Sana!
  2. F

    Kipindi gani kigumu katika maisha ulichowahi kupitia na kutoka na ushindi?

    Kwa ground maisha ni magumu Sana wazee,tunapitia magumu mpaka tunawaza mambo mabaya..lakini mwisho wa siku subra ndio kila kitu..hata hili pia litapita!
  3. F

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ashasema page ya nyuma kwamba aliweka mkeka wa odds 600+ sportpesa lakini ulipotiki wakampunguzia odds mpaka 73
  4. F

    Hebu jaribu kupata picha ya jinsi maisha yatakavyokuwa miaka 50 ijayo

    Na haya ndio yanafanya tuendelee kuwa masikini..kutegemea bahati!
  5. F

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Ngoja wake..mimi sitii neno!
  6. F

    Mungu nisaidie kijana wangu asiwe muhuni kama mimi, hatojenga

    Kujichanganya na mabinti sio tatizo Mzee,anaweza akawa nao kumbe na yeye "chatoka" hii dunia sio Ile bwashee
  7. F

    Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

    Sanamu lako tujenge wapi..?
Back
Top Bottom