,
Mimi binafsi ntamshukuru Mungu,kushuhudia mabadiliko ambayo yanamchango wangu kwa jamii ilionizunguka kwa suala Zima la mabadiliko,nimetoa Elimu hii kwa ndugu,rafiki,majirani zangu kila mtu aliyekaribu ujumbe na elimu ya mabadiliko
hilo ndo jukumu langu la msingi,so kiukweli mimi ni wakala...