Recent content by funza

  1. F

    Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

    Lema ni kijitu cha hovyo sana hakina huruma
  2. F

    Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

    Wewe kubali Lema kwa sasa ni shetani ndani ya chadema
  3. F

    Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

    Lema ni mtu wa hovyo sana
  4. F

    Kutakuwa na kilio na kusaga meno Kama Donald Trump atasaini Muswada wa Ted Cruz

    Mali pesa za maccm vyote vitakwenda na maji wabakie na hivyo walivyonavyo huko
  5. F

    Kutakuwa na kilio na kusaga meno Kama Donald Trump atasaini Muswada wa Ted Cruz

    Wewe huna mali huna pesa nje lakini Maccm wana mali zao wana pesa zao wameficha huko sasa zote zitakwenda na maji
  6. F

    Wabunge wa CCM walia chonde chonde marekani hilo rungu la Donald Trump lisitufikie, waomba waende Marekani kujieleza bunge la senate / congress

    Marekani hana Taifa huru yeye huzama kokote bila kujali sasa yupo cuba na kwingineko anawachangisha waarabu pesa kwa nguvu kugharamia vita ya iran ambayo ni super power sembuse Tanzania
  7. F

    Wabunge wa CCM walia chonde chonde marekani hilo rungu la Donald Trump lisitufikie, waomba waende Marekani kujieleza bunge la senate / congress

    ccm bado wanadhani America ni kama wanatania vile maana waziri Kombo kaongea Ujinga kuwa atawaalika wabunge wa America kuja Tanzani atagharamia gharama zote , ni aibu ni Rushwa hiyo kwani walimwambia hawana pesa za kusafiri kuja Tanzania? wana Balozi wana CIA FBI wao wapo Tanzania wanajua kila...
  8. F

    Walifikiri Marekani inatania, vilio vimeanza kusikika ndani na nje ya bunge

    ccm waache kuishi kwa kupenda kesi kesi kumtumia msajili wa vyama kuonea chadema kutumia dola kuwanyanyasa chadema badala ya kulalamika bungeni wajikite kuacha mizengwe kwa chadema wamwachie Lisu toka Gerezani
Back
Top Bottom