Nilikuwa bongo last summer na Niliongea na 3 senior lecturers na wote waliwahi kuwa wakuu wa idara ya uchumi kwa nyakati tofauti na walisupport sana hiyo idea ya Bowbow.
Kinachoonekana ni nani aanzishe. Mimi kwa sasa nasoma na ninataka kuandika thesis yangu kwenye suala la madini Tanzania...
Bravo Bowbow,
Ni kweli hicho chombo ni muhimu, kwani tunahitaji bodi hiyo itusaidie kwenye mambo yafuatayo
1. Kufanya tafiti mbalimbali kwenye nyanja zenye utata especially economic interests.
2. Kuongoza mijadala na makongamno ya kiuchumi ikiwa ni pamoja na kuelimisha jamii mambo ya...
Ndugu yangu F. Mchaundo
Kuna mambo mengi sana unataka kufanya investmet and kupanua investment ila linapokuja suala la Monopoly na siasa zikiwa ndani yake hayo ndio mambo.
Monopoly hawa haangalii mteja anaangalia profit maana mteja lazima anunue kwake kama sio vibatari na mishumaa...
Hawa Kwa maoni yangu,
Ni vyema wakawepo ili waweze kuwaelezea wajumbe wengine kwenye kamati ni kwa nini baadhi ya hivyo vipengele viliwekwa na kwamba wameona manufaa gani au upungufu gani kwenye hiyo mikataba.
Hivi Ivo mapunda akihama Yanga, Je cluba itakufa?
Nadhani chama sio mtu bali ni sera na uongozi wake kwa ujumla ingawa mtu moja moja ndio anamake chama? Je, akitoke Mtz mwingine nje ya CHADEMA mwenye uzalendo na kujiunga na CHADEMA je tuamini huko alikotoka chama kitakufa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.