Recent content by Full Blood Picture

  1. F

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    Majinga tu, yalitumiwa kuua sasa yanamtafutia nini Samia. Hopeless
  2. F

    Kutafuta Circle Mpya Dar

    usije watoa wenzio kafara bure
  3. F

    KERO: CHALAMILA: HATA SISI TUNAOISHI KARIBU NA MISIKITI TUNA MATESO MAKALI YA MAKELELE MARA TANO KWA SIKU

    Chalamila tunahitaji Masaada wako wa kiutawala katika swala hili
  4. F

    Kiongozi wa CHADEMA, Rose Mayemba aomba hifadhi UNHCR

    Angebaki Tanzania angeshauwawa
  5. F

    Kiongozi wa CHADEMA, Rose Mayemba aomba hifadhi UNHCR

    CCM ndo wajinga. Wanawaza kuua tu. Mtadaiwa damu zao mbele za Mungu. Jifanyeni waZalendo uchwara. Ruth nenda IOM
  6. F

    KERO: CHALAMILA: HATA SISI TUNAOISHI KARIBU NA MISIKITI TUNA MATESO MAKALI YA MAKELELE MARA TANO KWA SIKU

    Kelele si nzuri kwa mazingira, utafutwe utaratibu wa kupunguza kelele
  7. F

    KERO: CHALAMILA: HATA SISI TUNAOISHI KARIBU NA MISIKITI TUNA MATESO MAKALI YA MAKELELE MARA TANO KWA SIKU

    Matusi kwa wakristo kwenye baadhi ya misikiti. VIPAZA SAUTI KAMA MAKALAI YA KUKAANGIA CHIPS. Tulisha waambia waweke vipasa sauti ndani. Pia serikali iambie makanisa na misikiti yaweke sound proof to hili kelele isitoke.
  8. F

    KERO: CHALAMILA: HATA SISI TUNAOISHI KARIBU NA MISIKITI TUNA MATESO MAKALI YA MAKELELE MARA TANO KWA SIKU

    Haya majaa bure sana, unakuta mtu kafunga mapaza sauti makubwa kama MAKALAI YA KUKAANGIA CHIPSI
  9. F

    KERO: CHALAMILA: HATA SISI TUNAOISHI KARIBU NA MISIKITI TUNA MATESO MAKALI YA MAKELELE MARA TANO KWA SIKU

    Kelele na matusi ya waislam tumeshayachoka. Mpaka muwekewe vipaza sauti ndo mwende msikitini. Nendeni bila mapaza sauti.
  10. F

    Mgeni toka Dubai kakutwa na pembe ya Faru, kalipa tu Faini

    Wanaona watanganyika ni ng'ombe tu
  11. F

    KERO: CHALAMILA: HATA SISI TUNAOISHI KARIBU NA MISIKITI TUNA MATESO MAKALI YA MAKELELE MARA TANO KWA SIKU

    Wakazi tunaoishi maeneo ya jirani na misikiti tunakujulisha kwamba tunkabiliwa na changamoto ya kelele zinazotokana na shughuli mbalimbali za ibada(mara tano kwa siku), hali hii imekuwa ikiathiri kwa kiasi kikubwa maisha yetu ya kila siku, ikiwemo kupumzika, kufanya kazi, na kupata usingizi wa...
Back
Top Bottom