Recent content by Fukuto

  1. F

    Pamoja na yote, Dr. Slaa bado Atatinga Bungeni soon!

    Kinana? sawa pengine ni utabiri mzuri lakini bado hajachukua hata fomu. Lililo wazi ni kwamba Kinana hataki active politics vinginevyo angekuwa anagombea ubunge. Lakini labda kwenye ukatibu mkuu wa chama wanaweza kumweka hapo!
  2. F

    Sharif Hamad adondosha chozi...!

    Nadhani kwa Sharrif Hamad haya ni machozi ya furaha maana kama ni kwa uchungu huko nyuma angelia sana pale uchaguzi ulipotokea kwenye watu kufa na kuwa wakimbizi. Na vilevile halii kwa sababu ya umakamu, la hasha! ni kwasababu anaona ametoa mchango mkubwa sana kuwaletea amani wazanzibar wote na...
  3. F

    GE2010 Wakili wa mdai wa Dr. Slaa ni mgombea udiwani wa CCM!

    Makamba na Mahimbo wote ni wasambaa!
  4. F

    Leo zanzibar tumefikishwa hali hii haa!!

    Haya ya malumbano ya kidini hayana maana kabisa. yamepitwa na wakati. Mi nauliza tu Marehemu Ndala kasheba na Maalim Seif ni ndugu?
  5. F

    Marin Hassan wa TBC jichunguze...

    Nadhani nikubaliane na wote hapa kwamba ndugu yetu Marin anahitaji akarabatiwe kitaaluma. Hata sisi tusiokuwa wanataaluma tunaona hitilafu hizo. Ni mtu anayependa kuji project yeye mwenyewe zaidi akiwa studio na sio kama mwezeshaji katika kupasha, kuelimisha au kuwasilisha ujumbe uliokusudiwa...
  6. F

    Nahitaji mwanaume alietaliki au kufiwa na mkewe

    Una ceiling ya umri na je kama utaulizwa vitu gani viwili vya kuvutia ulivyonavyo (au hata kimoja tu) ili mtu yeyote mwenye kutaka kukuoa aone anachelewa kufanya hivyo utajibu ni vitu gani hivyo?
  7. F

    TAKUKURU mmenidhalilisha na kunisingizia

    Vp umeasahau kwmba kampuni za simu zinavuna mapesa kutokana na hizi sms campaigns? Hiyo ndiyo maana ya mteja!
  8. F

    I am new here

    Mimi ni muumini mkubwa na wa muda mrefu wa Jamii Forums. Nadiriki kusema kwamba kama mtu unataka kufikirisha ubongo wako kisiasa hapa ndiyo mahala pake. Naomba sasa mniruhusu nami niingie ndani ya mjengo ili nipate nafasi ya kuchangia.
Back
Top Bottom