Recent content by FRJ255

  1. FRJ255

    Kampuni kutotoa nafasi za Madereva wapya wa malori kuchangamana na wazoefu, watatoa wapi uzoefu?

    Kwa sasa kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya madereva katika kampuni za usafirishaji, hususan madereva wa malori yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi. Hata hivyo, kampuni nyingi zinahitaji madereva wenye uzoefu wa angalau miaka 3 hadi 5. Kero yangu ni kwamba baadhi ya kampuni hizi...
  2. FRJ255

    Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

    Noma sana
  3. FRJ255

    Sawa Haraka pesa hamjui kalaga baho ni nani, mmeshindwa hata kuwauliza jirani zenu Pesa X na bahari cash au popo cash wananijua kivipi?

    Siku nyingine baada ya kupokea mkopo nenda settings na uzime permission zote kuanzia contacts, sms, photos,calls,location nk
  4. FRJ255

    Mashoga Wanadai Haki, Lakini Je, Tunaelewa Tunachoshinikizwa Kukubali?

    Na maeneo mengi kwenye Uislam kama Tanga, Zanzibar,Mombasa na Pwani Kuna mashoga mwengi sana ambayo ni Maislamu pia
  5. FRJ255

    NAOMBA KAZI YA UTINGO WA MAGARI MAKUBWA

    Naomba unisaidie kushare Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani. Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo. Mawasiliano yangu Email. farajanh53@gmail.com
  6. FRJ255

    KERO Waziri na Kamishna wa Elimu wameshindwa kusimamia mwongozo wa likizo? Wanafunzi walazimishwa kusoma wakati wa likizo

    Kuna shule ya Serikari ipo wilaya ya Ubungo wanafunzi wa kidato Cha 4 wanaenda shule kipindi hiki Cha likizo na lazima uende la elfu1 kulipia mtihani na Kila siku
  7. FRJ255

    Nina mashaka makubwa na Ubora wa Barabara zinazojengwa Dodoma na Tanzania kwa Ujumla. Kuna harufu kubwa ya Rushwa na Kutojali

    Kama barabara ya Dodoma-Iringa pale tulipigwa parefu sana na barabara nyingi sana Tanzania tumepigwa
  8. FRJ255

    Nafasi ya kupata uzoefu barabarani

    Asante, nitashukuru sana
  9. FRJ255

    Nafasi ya kupata uzoefu barabarani

    Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani. Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo nipa. Mawasiliano yangu Email. farajanh53@gmail.com
Back
Top Bottom