Recent content by friendsofjeykey

  1. F

    Zitto’s letter to Cameron over dirty Swiss billions

    Zitto tunaambiwa anasoma sana vitabu, news, na yuko very uptpodate lakini ukweli naona yuko out of date Pesa zikishaenda kwa wazungu huwa hazirudi atuambie mikataba ya wachina ina nini? na pia atuambie TRA ifanye nini iwe effective kwenye ukusanyaji kodi?
  2. F

    Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

    Inawezekana kuwa Zitto akawa naye kapotoshwa?
  3. F

    Duka la Sheria Ngowi

    duka lishafunguliwa liko masaki kwa washua
  4. F

    Sheria Ngowi jifunze toka kwa Peter Walden

    kwa nini TFF walimnyima tenda ya suti za wachezaji wetu?
  5. F

    Fashion ''designer'' Sheria Ngowi

    amezindua duka lake jipya matukio-michuzi
  6. F

    Kwanini Usiri mkubwa wa Mikataba kati ya Tanzania na China?

    GREAT THINKERS wa JF wameshindwa kujua hii mikataba 17 ina nini ndani yake
  7. F

    Uhuru Kenyatta aisiriba serikali ya Tanzania

    iko wapi hiyo video clip ya Kenyatta kuzungumza ?
  8. F

    VIDEO-Zitto: Watu wa Mtwara wamejifunza kwa yaliyowakuta watu wa Kanda ya Ziwa

    Maswali ya msingi kwa Zitto: 1. Mbona haongelei majibu aliyopewa kuhusu MIKATABA 17 ya siri kati ya Tanzania na China? 2. Kwa nini hasemi sababu za sera ya gesi kuandikwa kwa Kiingereza? 3. Video hii inaonyesha kwa nini huyu jamaa ni tishio ndani ya CHADEMA na kwa nini anapigwa vita. 4...
  9. F

    Mafuriko Dar: A case for the presidential candidates 2015!

    Jiulize meya wa Ilala na wa Dar wako wapi? apparently meya wa Ilala ni kijana mdogo tuuu hivyo angewa kupatikana kwenye twitter na website lakini haijulikani yuko wapi
  10. F

    MAFURIKO: Hali ya usafiri Dar yawa tete, makazi yasombwa!

    Mara nyingi anapatikana kwenye ile hoteli iliopo pale SEAVIEW....jina limenitoka
  11. F

    MAFURIKO: Hali ya usafiri Dar yawa tete, makazi yasombwa!

    Haya mafuriko ya make or break people's careers
  12. F

    MAFURIKO: Hali ya usafiri Dar yawa tete, makazi yasombwa!

    Mbunge alitakiwa kuwa visible website yake inasemaje?
  13. F

    MAFURIKO: Hali ya usafiri Dar yawa tete, makazi yasombwa!

    Kuanzia usiku wa leo mtaona watu mbali mbali wanajitokea na wanasiasa kutuambia sisi walalahoi tuchangie mafuriko nasema kama mazalendo kuwa MSICHANGIE! Kama wametumia BILIONI 60 kwa ajili ya sherehe za uhuru kwa nini washindwe kuchangia vijisenti kwa ajili ya mafuriko? JWTZ nashauri...
Back
Top Bottom