Recent content by FRESHMAN

  1. F

    KERO Changamoto ya shule binafsi kuendesha programu za masomo wakati wa likizo kwa malipo

    Shule binafsi zinataka hela. Na njia ya kupata hela ni kuzuga kwa masomo masomo
  2. F

    Kwanini viwanja vingi vya mpira hapa bongo vinawekwa "Running tracks"?

    Mchezo sio running track tu. Tambua hiyo Arena itatumika kwenye michezo mingi na mambo ya sanaa mengi yanayosimamiwa na wizara ya sanaa na michezo
  3. F

    Kwanini viwanja vingi vya mpira hapa bongo vinawekwa "Running tracks"?

    Tambua viwanja ulivyovitaja vinamilikiwa na serikali chini ya Wizara ya michezo. Viwanja hivyo havijengwi na wala Havimilikiwi na wizara ya mpira. Wizara ya michezo inahusisha michezo yote
  4. F

    Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Hata yeye amekushangaa wewe umenunua sound bar ya kazi gani wakati spika za bei nafuu zipo
  5. F

    Mimi ni mkiristo lakini nimefanya utafiti WANGU na kuhitimisha kuwa Isaka na Yakobo mwane walikuwa Waislamu

    Unajua kwamba Taifa la israel imetokana na watoto 12 wa yakobo? Sasa inakuaje Yakobo muislam aanzishe Taifa la israel ambalo ni adui mkuu wa Uislam ?
  6. F

    Mimi ni mkiristo lakini nimefanya utafiti WANGU na kuhitimisha kuwa Isaka na Yakobo mwane walikuwa Waislamu

    Baba yake mtume Muhammad alikuwa dini gani ?? Na mama yake mtume Muhammad alikuwa dini gani ?
  7. F

    Mimi ni mkiristo lakini nimefanya utafiti WANGU na kuhitimisha kuwa Isaka na Yakobo mwane walikuwa Waislamu

    Dini ya uislam imeanzishwa mwaka gani? Na isaka na yakobo walikufa mwaka gani ?
  8. F

    Kwanini ulipe kodi ya miezi mitatu3) au sita wakati mshahara unapewa mwezi mmoja

    Hayo ni makubaliano binafsi kati yako na mwenye nyumba wako. Ndio maana katika mkataba wenu serikali haiwalazimishi mlipane kwa miezi mingapi mingapi? Kuna wengine wanalipa kodi kwa miezi mitatu na kuna wengine wanalipa kodi mwez mmoja na kuna wengine wanalipa mwaka mzima
  9. F

    Saud-Arabia wawashambulia Wahouthi huko Yemen

    Saudi arabia anapigana mieleka na nguruwe kwenye matope. Hajui kama nguruwe uchafu ndio anaupenda
  10. F

    TANAPA: Ukiuawa hifadhini, kama si mtalii hakuna fidia

    Vipi kuhusu wanyama pori wakiuwawa ?? Binadamu wakiua mnyama napo fidia hakuna ?
  11. F

    Rais mstaafu wa Rwanda hasikiki kama JK

    Kagame ni rais wa Rwanda kabla hata kikwete hajawa rais wa Tanzania. Na mpaka leo kikwete amestaafu ila kagame bado ni rais wa Rwanda. Imagine mstaafu wa miaka mingi iliyopita bado asikike tu
Back
Top Bottom