Recent content by Freesociety

  1. Freesociety

    Kamati ya Bunge yataka wanaopita daraja la Tanzanite kuanza kulipia

    Brother ulishasema Marekani. Hakuna usenge kama Tz, ndo maana watu wanalalama. Ukute kwenye hizo zaidi b 200 wahuni walishachukua zaidi ya b 50.
  2. Freesociety

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Rais yupi aliuliwa na hao watu?
  3. Freesociety

    Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

    Vipi Lazaro Matalange, Jacob Usungu, Uncle Sam?
  4. Freesociety

    Wachezaji wa Real Madrid wapigana mazoezini, mmoja apelekwa hospitali

    Kafanya nini star wenu mpaka mumtimue?
  5. Freesociety

    Wanaume tuwe makini, Wizi wa sehemu za siri za kiume "Penis snatching" umeingia Tanzania

    Ndugu, mimi nipo bonde la ziwa Rukwa eneo la Kilyamatundu maarufu Kamsamba, haya mambo tulikua tunayasikia Tunduma kama siku 4 nyuma. Lakini jana tarehe 4 April limetokea eneo hili. Muhusika(mwizi wa nyeti) alipigwa mpaka kuchomwa moto. Usibishe bila uhakika. Uliza wenyeji.
  6. Freesociety

    Kifo ni kifo tu isiwe kauli ya kuwahukumu wanaCCM wote.

    Hahahaaaaa! Hii nyundo ni ya kg 20. Acha wapambane na hali zao. Kutesa kwa zamu.
  7. Freesociety

    Kama Mwanaume, omba Mungu sana usijejikuta kwenye Hali kama hii. Ni aibu isiyoelezeka

    Kichaa anachekesha akiwa hatoki kwenye familia yenu Jibu mujarabu kabisa
Back
Top Bottom