Recent content by Freed Freed

  1. F

    Wafamu viongozi wawili wa FBI waliofanya kazi kwa ukaribu wakidhaniwa wapenzi wa jinsia moja. Hawakuwahi kuoa

    Mnamo mwaka 1924 J. Edgar Hoover anateuliwa kuongoza Bureau of Investigation BOI kama Mkurugenzi Mkuu. 1935 jina likabadilika na kuwa Federal Bureau of Investigation FBI na aliendelea kuongoza hadi alipofariki May 1972. Kwanini aliliongoza muda mefu wa miaka 48? 1. Aliogopwa na marais wengi...
  2. F

    Hakuna jeshi jirani litawaweza watutsi by 2050, JWTZ ilikuwa tishio kwa vikosi vya watutsi hadi kusarenda na kusubiri ruhusa ya Rwanda kurejea Tz

    Jeshi lipo imara mno. Kilichotokea Congo ni timing/waliviziwa. Embu wapewe amri ya kuwakabili watusi uone kitakachojiri.
  3. F

    Serikali inasubiri nini kitokee ili kumuwajibisha Mkuregenzi shirika la Reli, menejimenti na Bodi? Kwanini Mfumo wa Tiketi SGR uhujumiwe?

    Sasa kuna maana gani kutumia Matrilioni ya shillingi kuijenga reli hii? Kwanini isiwe maji, madarasa, zahanati, barabara, umeme, mishahara, nk?
  4. F

    Serikali inasubiri nini kitokee ili kumuwajibisha Mkuregenzi shirika la Reli, menejimenti na Bodi? Kwanini Mfumo wa Tiketi SGR uhujumiwe?

    Kuna matukio ya kusikitisha juu ya ujenzi wa Reli mpya mfano kusuasua kwa ujenzi, wizi wa vifaa na yote tisa kuonesha kuwa mfumo wa ticket umejaa ilihali treni husafiri bila abiria. Kwanini wahusika wakuu wapo ofisini? Nani anawalinda pamoja na hujuma zote hizi?
  5. F

    Masauni: Tanzania yalenga kuwa kitovu cha soko la kaboni Afrika

    Waandae maeneo ya kupanda miti kwa wingi.
  6. F

    Kwa wafanyabiashara wa Soko la Kilombero na Soko Kuu - Arusha: Hii Inawahusu

    Watu wahamishwe ili wajenge. Ukatili wa kutiana hasara wa nini?
Back
Top Bottom