Recent content by Fortyseven

  1. Fortyseven

    Hapo Kabla Waislamu na Mtume walikuwa wanaswali wakielekea Uyahudini (Yerusalem) Mpaka aliposhusha Aya

    saivi tunaswali kwa kuelekea mbeya maana ndiko mtume mwamposa anapotokea.......!
  2. Fortyseven

    Kitabu cha Henoko kinatumbulika na Yuda ila hakikuingizwa kwenye Biblia!

    ukiwa nacho ww kitabu cha henoko inatosha mkuu faidi mwenyewe kwa raha zakoooo
  3. Fortyseven

    Nani mkubwa kati ya binadamu na malaika?

    kama hana uhuru kwanini walitenda dhambi hao malaika uko mbinguni au unasemea uhuru wa kucheza vigodoro?
  4. Fortyseven

    Nani mkubwa kati ya binadamu na malaika?

    huu nao ni uongo eti hana uhuru?? kama hana uhuru mbona shetani alichagua kutotii yeye pamoja na mapepo na vibwengo na majini?
  5. Fortyseven

    Kuna msemo wa kiswahili ambao uliuelewa vibaya ulipokuwa mtoto?

    "unapodhuru wengine usinipite" nilikuwa nauimba huu wimbo kanisan kwa kusita sita enzi za utoto.
  6. Fortyseven

    Mimi nimewaza nimeona shetani ni scam

    nature ??? naona unarun around the bush nature inaongea inasauti??
  7. Fortyseven

    Mimi nimewaza nimeona shetani ni scam

    ulijuaje ili ni ubaya ili ni wema??
  8. Fortyseven

    Mimi nimewaza nimeona shetani ni scam

    mbona kama ww ndo shetani mwenyewe au nimeangalia vibaya??? nb je wema na ubaya upo au haupo? kama upo nani aliyekwambia huu ni wema na huu n ubaya walitumia vigezo gani kusema huu n wema na huu n ubaya na kwanini ubaya usipongezwe na wema ukaadhibiwa ( walitumia kigezo gani kutoa...
  9. Fortyseven

    Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

    ww ni taira mkuu!!. ila una mawe aisee.
  10. Fortyseven

    Watumishi wa Umma wanalojambo kubwa sana La kumshukuru Rais Samia Suluhu!

    ila kusema ukwel kwenye utumish wa umma anajitahidi uyu mama.
  11. Fortyseven

    Kwenye kina kirefu cha bahari, mariana trench(11km) inakuaje kuna viumbe hai?

    kuna kitu katika sayansi hukielewi ww ......! hasa physics
  12. Fortyseven

    Mm sijaoa ila tayari mm ni baba wa watoto wawili.

    ko bibi ako alikulea akiwa single mama ?? na vipi kuhusu mama ako n single mama??
  13. Fortyseven

    Wajue wasomi hawa wenye IQ kubwa, wanaoamini kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

    unasema IQ hii iliyosemwa hapa kuwa ni upumbavu?? hatuwez tegemea IQ ya mtu ili tuamin 1 Wakorintho 1:20 [20]Yu wapi mwenye hekima? Yu wapi mwandishi? Yu wapi mlete hoja wa zamani hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu? Where is the wise? where is the scribe? where is the...
  14. Fortyseven

    Wajue wasomi hawa wenye IQ kubwa, wanaoamini kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

    kwaiyo wasingeiamin na ww usingeiamin?? wao ndo kielelezo chako nn
Back
Top Bottom