😂😂😂😂😂, sikuwa na mpango wa kuandika chochote kwenye huu uzi lakini kwa hili la kwako imenibidi, nimecheka kwa sauti kubwa. Kwa mapishi ya ndizi nawapa big up WACHAGGA, ninayaelewa sana mapishi yao ya ndizi.
Mkuu, kwani ukioa bikra ndo uhakika kuwa hutagongewa kweli? unaweza ukawa umepata huyo bikra lakini katikati ya safari yenu ya maisha shits zikatokea na akaanza kuipeleka nje. Haya mambo ni magumu sana yani daah, Mungu azisaidie tu hizi ndoa, maana yeye ndo aliianzisha hii taasisi kwa mujibu wa...
Maslahi ya chain ya muziki wetu bado inasafari katika baadhi ya mambo mkuu. Lakini angalau kwa sasa ukilinganisha na tulikotoka though katika upande wa audio production nahisi wakati ule wa kina MAJAN na Master Jay walipiga sana pesa ukilinganisha na hiki kipindi cha hapo kati mpaka leo.
Kuna interview moja niliwahi kumsikia Nahreel akiadmit kuwa audio production hailipi, yaani watu hawalipi wanachukulia poa tu na wakilipa ni kile wanachojisikia, hapo ndipo alipoamua kuweka bei na mkataba wa malipo kuwa ili akutengenezee mdundo sharti ulipe Tsh 1mil. Hapo ndipo wasanii karibu...
Wanajua wanachokifanya mkuu, ndo maana hawabadiliki. Nadhani toka nimewafahamu wananyimbo nne pekee zilizokaa kiswahili swahili tu kuna ile ngoma yao kwanza kabisa kama Navy Kenzo inaitwa Chelewa aka Bokodo, Moyoni, Cheza kizembe na Usinibwage. Mikwaju mingine yote baada ya hapo ni kule mbele...
Navy Kenzo wapo katika dunia yao peke yao, mziki wao si wa nchi hii ya waswahili ndo maana jamii kubwa ya waswahili haiwaelewi. Twende mbele turudi nyuma wawili hawa hasa Nahreel ana mikono ya dhahabu kwenye midundo, tunatofautiana namna ya kusikia lakini kwa mimi niliyeanza kufatilia mziki...
Kiukweli mkuu, ukiachana na wananiita sugu na ile watu nazo pesa, Sugu moto chini, ngoma nyingine za sugu sikuwa nazielewa aisee, labda kwasababu nilianza kuifatilia bongo flavor mwanzoni mwa miaka ya 2000 ambapo tayari tasnia ilikuwa imeshaanza kuwa na vijana wengi na wenye ladha tofauti katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.