Recent content by Flex J

  1. Flex J

    Msaada: Kisimbuzi cha Azam TV

    Wapigie kwa no 0784108000
  2. Flex J

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Naomba ufafanuzi hua sielewi kwanini mnakatisha ruti ya Mbezi kutoka Gerezani au kivukoni sa 2 : 30 ilihali abilia ni wengi ila mnataka afike kimara achukue gari nyingine. Hii inafanya mnapoteza fedha kwa sababu kuna baadhi akifika kimara kachoka kusubiri gari zenu mpaka zijae tena anahisi uvivu...
  3. Flex J

    Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

    Napata kwa bei gani boss hii kitu ? Ps4 pro 2 controlers Storage : 1 tb Free cd : Fifa 21 Hdmi&Power cable
  4. Flex J

    Nasumbuliwa na fangasi sehemu za siri, hamna dawa ambayo sijatumia

    Na me pia naomba un pm kiongozi Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
  5. Flex J

    Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

    Habari mimi pia natafuta ajira. Nina diploma ya UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU NA NYARAKA. (RECORDS AND ARCHIVES MANAGEMENT). Napatikana Dar es salaam pia sio lazima iwe utunzaji wa kumbukumbu nachoomba ni kazi yoyote ambayo ni halali. Asanteni
  6. Flex J

    Mikia watasema ni photoshop

    CR7 hawezi vaa jezi za amphiphro fc Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Flex J

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Itakua maeneo ya wapi hii mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Flex J

    Update: Mashtaka dhidi ya makampuni manne ya simu

    Pambana mkuu na Mungu akuajaalie maana haya makampuni ya mitandao ni janga mfano Tigo ile saizi yako huwezi angalia hata salio la kifurushi chako ni mwendo wa kukalili muda uliojiunga na siku
  9. Flex J

    Riwaya: Siri

    Jamani naomba na mie kwa mwenye muendelezo anisaidie wapendwa
  10. Flex J

    Ukusanyaji wa kodi katika biashara zenye mitaji midogo

    Vipi kuhusu vitambulisho vya mjasiliamali vilivyotolewa na mh, rais maana kuna sehemu mpaka muuza mbogamboga anatakiwa kua nacho so ndio kodi yake ile kwa uelewa wangu mdogo au hii unayozungumzia hapa ni tofauti ?
Back
Top Bottom