Recent content by FIRST PRIORITY

  1. F

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    @ kiwi umeongea ukweli kabisa...haitaji kupewa nafasi haonekane utendaji wake...alishapewa, alishakluwa kiongozi wa juu miaka nenda rudi... Hana jipya zaidi ya kuendeleza ufisadi bungeni....nimefurahishwa sana na majibu ya jokakuu kwa william, nafikiri wiliam aishi tanzania au kama anaishi...
  2. F

    Viongozi wa dini wamtuliza Dk Slaa

    wao wenyewe wezi...ujasikia ya KKKT UKO ARUSHA...unategemea nini
  3. F

    wizi mtupu

    ni kazi tu jamani...je ukiangalia movie za kizungu utasemaje... au kwakuwa sisi waafrika...tusiwe negative sana
  4. F

    Mh. Freeman Mbowe awe Kiongozi Mkuu wa upinzani bungeni

    SIO 22 TU... KUNA ZILE TUNAZOPELEKA MAHAKAMANI KAMA JIMBO LA UKONGA NA SEGELEA... USHIDI WA KUTOSHA NA WA NGUVU UPO... USISHANGAE MAJIMBO KAMA CHUNYA PIA WAKAENDA MAHAKAMANI........OOOH WISH I CAN BE THERE, I CANT WAIT TO EAT THEM...F.....:A S angry:
  5. F

    GE2010 Mugabe amponza Kikwete

    DIKTETA KAMKARIBISHA DIKTETA MWENZAKE..FOKOF..LOL:nono:
  6. F

    GE2010 Hongera mh. Dk. Jakaya M. Kikwete

    @ MWANAMAGEUKO AMETUMIA FALSAFA YA HALI YA JUU...USIPOSOMA KWA MAKINI UTAONA KIKWETE KASIFIWA... KUMBE KATUKANWA KULIKO KUSEMA...NANI YA Ma@~£$%.O!!! YEAH... MTIZAMO WA HALI YA JUU LAZIMA AKUBALI HAYO NA KUSIKITIKA KUWA BABA HUYU WAKATI WA KAMPENI ALIJIFANYA KUPIGA PICHA NA WAZEE, WATOTO...
  7. F

    GE2010 Waraka wa Lowassa kwa vyombo vya habari

    Iko siku mungu atainua mawe na utawala dhalimu utainamishwa chini...mungu ibariki tanzania
  8. F

    Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

    Kikwete atakuwa anaipeleka nchi pabaya sana kama atafanya hivyo...anahitji watu wazoefu na wenye akili timamu kwenye baraza lake..... Ni wazi atazidi kuifanya ccm inuke kwa kumchagua huyo mtoto wa mlopokaji kuwa waziri wa chochote.... Awe makini sana jamaa ufahamu wake bado ni wa maziwa ya...
  9. F

    GE2010 Wanamageuzi. Tumpuuze. Tumdharau Malaria Sugu

    @malaria sugu anatakiwa kuelimishwa, inawezekana ni mjinga, si mpumbavu, akikua ataacha, ni kati ya wale vijana wanaopenda kuchungulia wazazi madirishani....si unajua tena uswahilini.... so na ukizingatia na chama kilichopo madarakani viongozi ni type ya uchunguliaji... nani atamuelimisha kama...
  10. F

    Uchaguzi 2010: Sauti ya wananchi iheshimiwe!

    - Makondo heshima yako sana bro, ninasema hivi baada ya huu uchaguzi ni lazima wabunge wapya hasa wa Upinzani walivalie njuga tatizo hili la NEC, viongozi wote wa NEC ya sasa waondolewe haraka sana mara tu uchaguzi ukiisha na serikali itafute mbinu nataaluma mpya za kuikarabati hii tume iwe...
  11. F

    Uchaguzi 2010: Sauti ya wananchi iheshimiwe!

    Angarau umenifanya niulize baada ya kupigwa butwaa kidogo, nisaidie tafadhali, kuna vidfeo inaonyesha mh. Masha anawashukuru wananchi kwa kumgagua kwa kura zake 28,..... Ambazo ameshindwa na mgombea wa chadema 38,.... Je inakuwaje hapo, maana kwa mujibu wa gazeti la mwananchi ni kuwa mgombea wa...
Back
Top Bottom