Mbona unaoneka una stress sana leo, nani amekuvuruga kipenzi jamani. Please calm down!
Hata kama mambo hayapo sawa sio vizuri kujianika kila mmoja ajue kuwa umevurugwa na mpenzi wako.
Just relax, acha maisha yaendeleee
Ndugu zangu,
Naamini mnaendelea vema.
SAMAHANI KAMA NITAWAKWAZA: Naomba msaada wenu kwa anayejua kuhusu SIFA NA TABIA za wanawake wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao WARANGI.
Na pia naomba ushuari wa namna bora ya kuishi nao ikitokea mtu anao mwanamke wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.