tanzania njema, sidhani kwasababu jina lako liko hivo nikuwa tanzania ndo ilivyo njema, kashfa ni kashfa, hao ndo viongozi waliosema kuwa vitu kama bay watch night visionyeshwe kwenye tv wakati wao wanaongoza kwa tabia zilizooza(sorry to say that) it is the truth. na maadili ni maadili tu, mda...