Recent content by figganigga

  1. figganigga

    PostGE2025 Heche na Mnyika, Mazungumzo ya kisiasa na serikali kutatua mkwamo wa kisiasa na suala la Lissu kuwa huru kamwe isitafsiriwe kama ni kupiga magoti

    Odero, kwakuwa ni wadogo zako kisiasa, nenda wewe mkubwa. Kwanini wewe hutaki kwenda kwenye mazungumzo unawalazimisha unao waita wadogo?
  2. figganigga

    Mchungaji Kanisa la KKKT amwaga pombe kwenye sherehe ya Kipaimara ya mtoto wa muumini wake huko Njombe

    Kumbukumbu la Torati 14:26 Na zile fedha zitumie kwa chochote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako chochote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako
  3. figganigga

    Yaani mnamfunga Tundu Lissu halafu mtegemee Timu ya taifa Tanzania ifanye vizuri?

    Kuna wajinga wanadhani timu ya Taifa ya Tanzania ni mali ya CCM. Mmoja ya Wachezaji mdogo wake mlimuua 29.10.2025. Halafu mnamfunga Tundu Lissu. Kichapo hiki kinamanisha hii ni timu ya taifa si timu kutoka Kizimkazi bali ni timu ya Watanzania.. Na watanzania hatufurahi mwenzetu hata akiwa...
  4. figganigga

    Hio nishati safi ambayo Raisi Samia anasifisiwa kupiga hatua ni ipi? Mbona mikaa na kuni zinatumika mno?

    Yeye anazungumzia nyumbani kwake Kizimkazi. Kwahiyo kwa akili yako unahisi ana muda na wewe.. Au ukitumia mkaa unahisi anajali? Yeye analenga hela kwaajili ya familia yake.
  5. figganigga

    Samia Suluhu akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa COP31

    Wanajua hawajulikani ndo maana wanajibandika kila sehemu. Hawapendwi
  6. figganigga

    Samia Suluhu akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa COP31

    Yaani akisimama na watu unamtafuta kwa tochi. Kumbe wakina Msigwa wanamkuza.. Nionesheni bila kuzoom Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), Antalya...
  7. figganigga

    Je, Tundu Lissu katenda kosa la uchochezi katika kipindi gani?

    Tunachojua kosa lazima lijulikane limetendeka lini.. Je, hilo kosa la Tundu Lissu hadi anafungwa, alilitenda lini?
  8. figganigga

    Zanzibar ya leo ndo ile aliyoiona Amani Abeid Karume. Asante Samia Suluhu

    Bora wangekutawala bila kutuua na kututeka
  9. figganigga

    Zanzibar ya leo ndo ile aliyoiona Amani Abeid Karume. Asante Samia Suluhu

    Wakati Tanganyika tukiuana sisi kwa sisi 29.10.2025, wakati Tanganyika tukitekana, Wakati Tanganyika tuukipeana kesi za Uhujumu uchumi na uhaini. Wakati Tanganyika tukiwaletea figisu watu wetu wenye akili nyingi kma Mzee Warioba, Nchimbi, Tundu Lissu, Polepole na wengine wengi. Wakati taarifa...
  10. figganigga

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu

    Halafu jitu kama hili eti likagombea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA! 🤣🤣🤣
  11. figganigga

    Ziara za kuzindua miradi zimeisha naona uapisho zaidi

    Ssasa mradi gani uzinduliwe.. Miradi ya Magufuli yote kaizindua na imekwama kuendelea.. We acha tu mjukuu wangu.
Back
Top Bottom