Recent content by fierceman

  1. fierceman

    NECTA Yatangaza matokeo ya darasa la Saba. Shule 38 zafutiwa matokeo kwa udanganyifu

    Hivi ni mwisho grade gani mtoto anaweza kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza?
  2. fierceman

    Je, hili lina ukweli wowote?

    Eti mtu asipocheza (asipokuwa mtu wakupenda wanawake sana) ujanani basi atafanya uzeeni? na je akicheza ujanani basi atatulia uzeeni?
  3. fierceman

    Kwanini Wanaume wengi siku hizi mmegoma kuzama chumvini?

    Tunalamba chumvini alaf bado mnatusaliti....nyie mnazani sisi ni mazombie
  4. fierceman

    Coronavirus: Rais tangaza hali ya hatari nchini

    mkusanyiko na kuenea kwa covid19 uhusiano wake uko wapi unaweza nielezea?
  5. fierceman

    Coronavirus: Rais tangaza hali ya hatari nchini

    Sio kweli hata zingeliwahi kama uelewa wa watu juu ya kujikinga na ugonjwa huu ni mdogo basi lingeingia tu hili gonjwa
  6. fierceman

    Coronavirus: Rais tangaza hali ya hatari nchini

    hapana lakini wewe unadhani kufunga masoko na minada na shughuli zingine linawezaje kuwa solution ya tatizo?
  7. fierceman

    Coronavirus: Rais tangaza hali ya hatari nchini

    Nchi ngapi zimefanya unachoshauri wewe na bado vifo na maambukizi viko kwa kasi..kufunga masoko na minada si utatuzi
  8. fierceman

    Eti hiki ndicho kinachowakera wanaume kutoka kwa wadada?

    Eti hiki ndicho wanawake nao wanachukizwa eti kumuomba namba kisha umtongoze
  9. fierceman

    Napataje mitihani ya NACTE ya Clinical Medicine mtandaoni?

    Msaada kwa anayefahamu App ya kupata mitihani ya NACTE kwa course ya Clinical Medicine kwa iliyofanywa kipindi cha nyuma
  10. fierceman

    Honestly, wanawake WEUSI hamtamanishi kitandani

    Hivi uko wodi gani vile?
  11. fierceman

    Naomba ushauri wa kozi ipi nisome kati ya hizi mbili?

    wewe moyo wako unakuambia kipi usome? kile moyo wako ukuambiacho ndicho sahihi na mafanikio yako hapo moyo wako ulipo...ko take care of it bro
  12. fierceman

    Ni kozi ipi nzuri itakayoweza kumsaidia kwenye maisha yake baadae?

    kusoma ni kama majira tu hivyo hivyo kozi za kusoma hubadilika soko kulingana na wakati...ila kwa yeye huyo akasome business and marketing kozi ni biashara tu itamfaa
Back
Top Bottom